Niko Morogoro, nina bajeti ya mil 2,500,000/= nahitaji gari ndogo ya kutembelea

Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.

Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris

Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
Kwa bajeti hiyo, unatafuta kujuana na mafundi wote
 
Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris

Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO
Nunua boxer.sababu gari ya bei hiyo itakuwa ni mdogo wake wa chuma ulete
 
Nenda Masika mtafute mshkaji anaitwa Kuty Fela atakupatia Gari hata kama una Milioni unusu.
Aende saba saba kabisa kwao na kuty ili gari ikisumbua ataanzia hapo.Hivi Bosnoja yuko wako yule mzungu wa roho.
 
Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris

Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO
Tuwasiliane bro nina corolla 111
 
Mkuu kwa hiyo budget na gari utakayoipata nakushauri uende kabisa Veta kama sio chuo cha ujenzi ukasomee kozi ya ufundi wa magari kabisaaa na ununue ovaloli utembee nalo kwenye hiyo gari yako.
Mkuu mbona unamkatisha tamaa mwamba???🤣🤣🤣
 
Gari alishipata Tena kwa bajet ileile 2.5m na haina shida yoyote.
 
Mkuu kwa hiyo budget na gari utakayoipata nakushauri uende kabisa Veta kama sio chuo cha ujenzi ukasomee kozi ya ufundi wa magari kabisaaa na ununue ovaloli utembee nalo kwenye hiyo gari yako.
Daah nimecheka kinyama yani duuh yaani umemwambia ukweli kabisa maana kwa bei hiyo hata boxer mpya hapati
 
Mrejeshooooooo......nashukuru Mungu nimepata Gari kwa bajeti yangu ile ile ya 2.5m japo wapo walionikatsha tamaa lakin pia asanten mlionitia moyo...nmepata Gari nzuri tu...iko vzuri mwenye nayo ana safar ya Ulaya so ameniuzia kiroho safi.
ASANTE JF
Picha
 
Nicheki hapa 0744033555 watsap nikutumie picha na tuongee zaidi
Mkuu mwambie tu ukweli, hawezi kupata gari kwa bei hiyo; laiti akipata then ni moja katika haya mambo 2, either muuzaji awe na shida kubwa sana na anataka pesa ya fasta au akubali kununua gari ambayo itamlazimu kuigharamikia sana garage ili irudi katika hali yake ya kawaida
 
Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris

Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO
MWENDOKASI UTAPATA KWAHIO BEI
 
Back
Top Bottom