Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwa bajeti hiyo, unatafuta kujuana na mafundi woteNiko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris
Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
Nunua boxer.sababu gari ya bei hiyo itakuwa ni mdogo wake wa chuma uleteNiko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris
Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO
Aende saba saba kabisa kwao na kuty ili gari ikisumbua ataanzia hapo.Hivi Bosnoja yuko wako yule mzungu wa roho.Nenda Masika mtafute mshkaji anaitwa Kuty Fela atakupatia Gari hata kama una Milioni unusu.
tuma kapicha bas ili wadau waoneMrejeshooooooo......nashukuru Mungu nimepata Gari kwa bajeti yangu ile ile ya 2.5m japo wapo walionikatsha tamaa lakin pia asanten mlionitia moyo...nmepata Gari nzuri tu...iko vzuri mwenye nayo ana safar ya Ulaya so ameniuzia kiroho safi.
ASANTE JF
Aaah Mwana kweli unawajuwa jamaa,Mi sipo pande hizo man sema Boss noja naskia yuko huko kwao 77.Aende saba saba kabisa kwao na kuty ili gari ikisumbua ataanzia hapo.Hivi Bosnoja yuko wako yule mzungu wa roho.
Tuwasiliane bro nina corolla 111Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris
Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO
Weka picha tuioneTuwasiliane bro nina corolla 111
🤣🤣🤣🤣 Daaah! Mbavu zangu.Mkuu kwa hiyo budget na gari utakayoipata nakushauri uende kabisa Veta kama sio cha ujenzi ukasome kozi ya ufundi wa magari kabisaaa na ununue na ovaloli utembee balo kwenye hiyo gari yako.
Mkuu mbona unamkatisha tamaa mwamba???🤣🤣🤣Mkuu kwa hiyo budget na gari utakayoipata nakushauri uende kabisa Veta kama sio chuo cha ujenzi ukasomee kozi ya ufundi wa magari kabisaaa na ununue ovaloli utembee nalo kwenye hiyo gari yako.
Ni ushauri tu.Mkuu mbona unamkatisha tamaa mwamba???🤣🤣🤣
Daah nimecheka kinyama yani duuh yaani umemwambia ukweli kabisa maana kwa bei hiyo hata boxer mpya hapatiMkuu kwa hiyo budget na gari utakayoipata nakushauri uende kabisa Veta kama sio chuo cha ujenzi ukasomee kozi ya ufundi wa magari kabisaaa na ununue ovaloli utembee nalo kwenye hiyo gari yako.
Umeiona kama haina shida?Gari alishipata Tena kwa bajet ileile 2.5m na haina shida yoyote.
PichaMrejeshooooooo......nashukuru Mungu nimepata Gari kwa bajeti yangu ile ile ya 2.5m japo wapo walionikatsha tamaa lakin pia asanten mlionitia moyo...nmepata Gari nzuri tu...iko vzuri mwenye nayo ana safar ya Ulaya so ameniuzia kiroho safi.
ASANTE JF
Mkuu mwambie tu ukweli, hawezi kupata gari kwa bei hiyo; laiti akipata then ni moja katika haya mambo 2, either muuzaji awe na shida kubwa sana na anataka pesa ya fasta au akubali kununua gari ambayo itamlazimu kuigharamikia sana garage ili irudi katika hali yake ya kawaidaNicheki hapa 0744033555 watsap nikutumie picha na tuongee zaidi
MWENDOKASI UTAPATA KWAHIO BEINiko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris
Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO