Niko Morogoro, nina bajeti ya mil 2,500,000/= nahitaji gari ndogo ya kutembelea

Kweli watu sijui kwa makusud au kukariri, wanapenda kukatisha tamaa Sana. Mm binafs nimeona gar kma mark 11, chesa, cresta, Gx 100 zinauzwa kuanzia 2 milion na kuendelea zinakuwa nzima. Wengine hawajawai kumiliki magar kwa hiyo wanajua kila gar ni milion nyingi Sana. Tuache kukatisha tamaa
 
Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris

Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO

0678347976
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…