Yaani Shunie kweli unampa option ya kumla ha ha ha ha ha.huyo demu anakutaka kwahiyo akili kichwani mwako umle au upige chini
cha pili mkataba ukiisha hapakufai hapo hama
shoga mwenyewe..mkuu huu utani mwengine asee uwe na kikomoKuna mtu alinambia umeacha ushoga... ni kweli?
Hahahaaa!huyo demu anakutaka kwahiyo akili kichwani mwako umle au upige chini
cha pili mkataba ukiisha hapakufai hapo hama
Kama wewe ulivyokua na kikomo kwa Wanaume wa Dar!nyinyi Wakolomije mnatuchukulia poa sana wa Dar;acha muitwe mashogashoga mwenyewe..mkuu huu utani mwengine asee uwe na kikomo
Nahisi kale kaugonjwa kaukubwani kamekuanza ,huyo demu anakutaka kwahiyo akili kichwani mwako umle au upige chini
cha pili mkataba ukiisha hapakufai hapo hama
Peace kiongozi!!shoga mwenyewe..mkuu huu utani mwengine asee uwe na kikomo
Hahahahaa... LOLKama wewe ulivyokua na kikomo kwa Wanaume wa Dar!nyinyi Wakolomije mnatuchukulia poa sana wa Dar;acha muitwe mashoga
Fanya jambo la kuhama hapo mkuu tu as long as mkataba wako unaisha mwezi ujao.. Tafuta chumba ambacho utakuwa unakicontrol wewe peke yako tu na si kushea kama ulivokuwa na huyo 'Dada Poa'
Huyo mwanamke anakuharibia sana mipango yako ya maisha..
Ila nikupongeze kwa kudhibiti hasira na jazba zako kwa kutokumpiga pamoja na visa vyote visivyovumilika alivyokufanyia.
Umenena vema mkuu hyo hatakiwi kugusa chochote na apewe karipio kaliWe mwanaume bwana,Kaza nafsi hiyo!!sisi wanawake huwa tunatabia ya kupima wanaume upepo!je unaingilika?!sasa ukiwa nyoronyoro kama wewe basi tutakutawala sanaaaa!!tutakuzoea sanaaa,tutakuonea sanaa!![emoji23][emoji23]
Dawa yake ni kumpa makavu huyo dada kama KWELI HUJAMLA[emoji15]!tena ongea nae kiume haswa huku ukimpa maneno ya kukata na shoka bila matusi..
Ingiza vitu vyako ndani ili kuonyesha msisitizo,mjini hapa baba hakuna kumuonea mtu aibu,gesi inapanda bei kila siku,halafu umwachie mtu atumie kizembezembe tu?!hata akikuona Mswahili poa tu,akitaka akuone hata Mmakonde!!formula ya kutajirika ni kusave,fungia ndani vitu vyako vyote,usiache hata mwiko...na hakuna kuhama..
Mimi hata fagio wangu hugusi[emoji23][emoji23] sembuse gesi?!una masikhara wewe
Mjini hapa,kila mtu atasimama kwa miguu yake mwenyewe