Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

usiogope uswahili, hifadhi vitu ndan kwisha kaz, atalainika tuu
 
jombaa huyo anataka kuharibu pande zote ubaki nae coz anatengeneza fumanizi ili mwenye moyo mwepesi asepe na ukibaki na mmoja nae atamharibia tu ili ubaki nae
so hapo mambo 2 uhame au ukomae kushuhudia vibweka kwa ulionao mpaka uwaache ili aje akumiliki maana hapo anakula coz ya udhaifu wako na ukimla tu hapo hatokanyaga mtu hapo
 
huyo demu anakutaka kwahiyo akili kichwani mwako umle au upige chini

cha pili mkataba ukiisha hapakufai hapo hama
Nahisi kale kaugonjwa kaukubwani kamekuanza ,
mpaka una shauri mwenzio aliwe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tatizo hapo ni wewe kutotaka kuonekana mswahili.Itakuwa wew ni mkorea si bure.
 
Fanya jambo la kuhama hapo mkuu tu as long as mkataba wako unaisha mwezi ujao.. Tafuta chumba ambacho utakuwa unakicontrol wewe peke yako tu na si kushea kama ulivokuwa na huyo 'Dada Poa'
Huyo mwanamke anakuharibia sana mipango yako ya maisha..

Ila nikupongeze kwa kudhibiti hasira na jazba zako kwa kutokumpiga pamoja na visa vyote visivyovumilika alivyokufanyia.

Ahahahahahaha mkuu umerud kweli, nkajua ushanikataa mwanao.

Anyway, ahsante kwa ushaur...nashukuru kwa pongezi pia
 
We mwanaume bwana,Kaza nafsi hiyo!!sisi wanawake huwa tunatabia ya kupima wanaume upepo!je unaingilika?!sasa ukiwa nyoronyoro kama wewe basi tutakutawala sanaaaa!!tutakuzoea sanaaa,tutakuonea sanaa!![emoji23][emoji23]

Dawa yake ni kumpa makavu huyo dada kama KWELI HUJAMLA[emoji15]!tena ongea nae kiume haswa huku ukimpa maneno ya kukata na shoka bila matusi..

Ingiza vitu vyako ndani ili kuonyesha msisitizo,mjini hapa baba hakuna kumuonea mtu aibu,gesi inapanda bei kila siku,halafu umwachie mtu atumie kizembezembe tu?!hata akikuona Mswahili poa tu,akitaka akuone hata Mmakonde!!formula ya kutajirika ni kusave,fungia ndani vitu vyako vyote,usiache hata mwiko...na hakuna kuhama..

Mimi hata fagio wangu hugusi[emoji23][emoji23] sembuse gesi?!una masikhara wewe

Mjini hapa,kila mtu atasimama kwa miguu yake mwenyewe
Umenena vema mkuu hyo hatakiwi kugusa chochote na apewe karipio kali
 
Back
Top Bottom