Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

Daaah mkuu wacha niliyoyafanya chuo Mungu ndio anajua...
Kunakipindi nilijua nimeshaukwaa kabisa mm sitaki tena mambo hayo nimeapa sitatongoza tena msichan.
Ila sijui kama nitaweza..

Mkuu chuon kuna mengi sana.....lait tunayoyafanya vyuon wazazi halisi wangekua wanaona huko waliko basi wangekua dis appointed to the extent ya kutopeleka wadogo zetu vyuoni.

Ni funzo mkuu tusile tena malaya maana tukigusa tu asa hv tuna ukwaa
 
Mbona kama vile huyo Mwanamke ana dalili zote za wale ' Watekaji ' wa akina Roma Mkatoliki na wenzake kwani kwa maelezo yako tu yaliyo ' Kuntu ' anaonekana ana roho mbaya tena ' iliyotukuka ' kabisa.

Mkuu huyu ndug ana roho mbaya mithili ya T bag .....nahisi hata ni mchawi ukizingatia ni mwenyeji wa kigoma
 
Huyo dada ni shida maana sioni haja yakuingilia privacy ya mtu unless anakutaka ila anashindwa kukwambia direct.Uje umgegede kidogo labda atatulia......lol
 
Siamini kama unasumbuliwa na dada mnaeshea korido tu. Huyo ni wa kumnasa makofi.. Wapo wenye matatizo mazito zaidi ambao wanasumbuliwa na madem waliozaa nao.. Dem usipomtoa anatishia kumtelekeza mtt na blah blah mingi...
 
Azabu yake mle na yeye papuch vzr hy ndio itamfaa kula alaf hama OVER
 
Alimshitua aje kufumania so u mean uligawa namba za wote kwa huyo bi dada?
 
Mkuu huyu ndug ana roho mbaya mithili ya T bag .....nahisi hata ni mchawi ukizingatia ni mwenyeji wa kigoma

Kama ni hao Watani zangu ' Waha ' kutoka Mkoani Kigoma wala hujakosea Mkuu ni ' Wachawi ' mno ila sijui kwanini mbele ya sisi Watu wa Mkoa huo ' Ugagula ' wao huwa unaishiwa nguvu na hakuna Watu ambao ' Waha ' wanawaogopa kama wa Jamii ya Wana Musoma ( Mara ).
 
Alimshitua aje kufumania so u mean uligawa namba za wote kwa huyo bi dada?

Kama umenote vizur nmesema huyo anae pendwa na dada poa nae kamaliza chuo ko hana mchongo...hivyo akija geto anakua nae mda ote na mm nnavoenda job namuacha geto hivyo lazima watazoeana to extent ya kubadilishana namba hata maybe kupiga story kuhusu bi dada mwengne.....ila huyu mwengne anasoma ko m nnavosepa asubuh nae anasepa ko amna mazoea na malaya.
 
No no not to that extent, kachoma rice cooker bwanaweeeee,

Ningekua Mimi saizi ningekuja na post inayoelezea namna nlivyowakimbia polisi

Haahhaaaa mkuu unaonekana una hasira sana........bila shaka huyu angekua kwene anga zako bas hii thread ingekua kama hvo umesema kweli
 
Kama umenote vizur nmesema huyo anae pendwa na dada poa nae kamaliza chuo ko hana mchongo...hivyo akija geto anakua nae mda ote na mm nnavoenda job namuacha geto hivyo lazima watazoeana to extent ya kubadilishana namba hata maybe kupiga story kuhusu bi dada mwengne.....ila huyu mwengne anasoma ko m nnavosepa asubuh nae anasepa ko amna mazoea na malaya.
Poa mkuu, we mdin.. e tu
 
Wakuu mambo vipi?. Natumai mu wazima wa afya njema na mnapambana vyema kupiga vita umaskini.

Wakuu, nmepanga chumba kwenye nyumba ambayo wapangaji wawili tunashare corridor, hivyo hapa nilipo mimi nmepanga na bi dada flani hvi.

At first tumekua tukiisha safi sana toka november mwaka jana had last two weeks ambapo tumeznguana ingawa ni indirect yan sio ugomvi wa kuznguana mimi na yeye direct.

Source

Nina madem wawili na wote wananipenda sana. So nmekua nawaleta geto kwa mda tofaut yan week end hii akija huyu next week end anakuja mwengine na i know haiko recommended basi tu ujana. Imekua hvo toka january had jnne ilee ilopita yana jana nmefunga week mbili. Na kisa cha kugombana na huyu bi dada hiyo jnne alinichezeshea mchezo mchafu wa fumanizi kwa kutegeshea nimerud job niko na dogo na yeye kuchukua jukumu la kumwmbia yule mwanamke mwengne, na dhumun lake la kufanya hvo alitaka nimuache huyo nlokua nae siku hiyo kwan kuna siku takriban mwezi mmoja na nusu aliniita na kunambia kuwa mwanamke huyo anadharau kuliko yule mwanamke mwengne. Hivi nilijua kbsa nia yake na katika fumanizi ilo i had to choose one na i chose yule ambaye huyu bi dada hampend.

So, toka siku hiyo imetokea hiyo issue tumekua hatusalimian yani hvo tunapishana t. Mlangon na koridon kupika amna stor wala nn, ila hali imeenda mbaya zaid baada ya leo kuona anaenda mbali zaid kwan nmekuta katoboa rice cooker yangu, kafanya attempt ya kuvunja kisu maana nnekuta kimepinda kbsa, kachoma baadh ya vyombo vinavyo unguzika na kutumia ges yangu kwa matumizi yasio ya lazima maan nmeambiwa na jirani mwanangu kua anamuona anachemsha maji ya kuoga, kupika/kuchemshia maharage hata kuchemsha maji ya kunywa kwene ges yangu licha ya yeye kuwa na gesi yake.

Nmemuita leo nkaongea for a first time baad ya hii cold war na kumuuliza ila amekataa hujuma zote licha ya kuwa yeye tu ndo ana uwezo wa kufanya hvo maana ni yeye peke nashea nae kiget cha kuinga kwene hiyo nyumba na ni mimi na yeye tu ndo tuko na funguo za kigeti iko.

Wasi wasi wangu

Kama kaweza kuchoma vyombo na kutoboa cooker, atashindwa kuniwekea sumu au kunifanyia kitu kibaya Zaid ya hivyo??


Mind you

1. Mimi kila asubuh naenda kazin yeye anabaki nyumbani yan hana official kazi.

2. Baada ya tu kuhamia hapa nilikua na nunua vitu kwa jumla kama mchele, sabun, mafuta n.k ila nkaacha baada ya kugundua kua nashare nae almost kila kitu.

3. Kuhusu ges najua siku nying anatumia kwan kuna vimitego huwa naweka na anasa, ila kila nikiuliza anakataa na ofcoz siwez hamisha ges nkaweka ndan na kuitoa wakat wa kupika naona utakua uswahili.

4. Kod yangu inaisha mwezi ujao, so its either ni renew mkataba au nitafute sehem nyengne.

5. Dem ni mzuri jamani. Ila Sijamla wala sikutaka kumla maana nilikua naish nae kama dada angu licha ya kazi inayosemekana anafanya (Udada powa) maana kila siku around saa sita anachomoka na kurud asubuh saa kumi au kumi na moja.

6. Kuhusu hao madem, nlochagua kubak nae anasoma chuo mwaka wa mwsho chuo flan hv hapa mjin nilichomaliza mimi mwaka jana, huyo mwengne ambaye cjamchagua ambaye anapendwa na huyu bi dada nlopanga nae hala kamaliza chuo flan hv Mwanza mwaka jana ko asa hv yuko mtaani anasubiri michongo na nilisoma nae advance mkoan Mbeya shule flan hv.6

Je, Nifanyeje jamani ili kuweza kuepukana na karaha hizi naziface pamoja na majanga yanayoweza kutokea badae??

Chukua RB! au nenda kwenye dawati la jinsia!
 
Back
Top Bottom