Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
1,677
Reaction score
1,596
Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji,

Tukaanza safari kwa matatu yao pale namanga upande wa Kenya kuelekea Nairobi
Anaonekana mgeni wa safari ya Nairobi, tukasafiri hadi Kitengela tukaona flyover ya magari ya juu kwa juu akasema mamaaa kumbe na huku zipo, hakujua Kenya wanazo kitambo,
Nikamfikisha hapa tupo tunatumia
Anakula nyagi balaa, yeye gittheri na Minjii hataki ni nyama tuu

Mtoto wa Kimasai mtamu
 
sawa
Screenshot_20201107-141500.jpg
 
Nmekuja kukusapoti tuu kuwa mtoto wa kimasai ni mtamu
 
Back
Top Bottom