Niko nasikiliza TBC Taifa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali: Majibu ya moja ya swali ni hili

Dini zote zimejaa uongo.

Ila uongo wa kwenye uislamu umepitiliza. Yaani uongo wa kitoto sana, unachekesha sana
 
Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana πŸ˜…
Na mito ya pombe
 
Al-Baqara 2:25
Na wabashirie walioamini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani ambayo mito hupita kati yake; kila wanapopewa matunda humo, husema: Haya ndio kama tuliyopewa zamani. Na wataletewa matunda yaliyofanana; na wana humo wake waliyotakasika na wataishi humo milele.

Al-Imran 3:198
Lakini walio mcha Mola wao watapata mabustani yanayopita mito kati yake. watakaa humo milele. Hayo ni makaribisho yao kutoka kwa Mwenyenzi Mungu. Na vilioko kwa Mwenyenzi Mungu ni bora kwa ajili ya watu wema.
 
Hii tabia huwa inanikera sana yaan wanafanya waafrika tunaonekana tupo duniani kwa bahati .mbaya...huyo ustadhni very stupid japokuwa mimi pia ni muislam
Kwani Qur'an kaandika huyo "Ostaz" hadi ukasirike? Yeye katoa jibu toka kitabu aliΓ§hoandika Allah, kosa lake nini hadi awe very stupid?
 
Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana πŸ˜…
Yaani hatari aiseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu Mzanzibar ukimwambia umefanana na Msukuma ana kasirika na kukutukana lakini ukimwambia umefanana na Mwarabu ana furahia.
Wanajisahau sana...

Wanasahau kuwa wao walikuwa watumwa wa Babu za Akina Maaalimu Seif na Jusa
 
Ndio maana Quran wanafundiswa kukariri na sio kuhoji
 
Kwani Qur'an kaandika huyo "Ostaz" hadi ukasirike? Yeye katoa jibu toka kitabu aliΓ§hoandika Allah, kosa lake nini hadi awe very stupid?
Kuna Qur'an na hadithi huyo shehe kaitoa wapi hiyo? Hebu fafanua
 
Mbona Mito ya pombe hujataja!
 
S
Sisi tutaamini vipi kuwa hiki ulichokiandika kimetoka huko kwenye kipindi Cha dini ya kiislamu?

Kama ni chai je sisi tutajuaje
 
Hizi dini zilizotungwa na matapeli zitazidi kutesa wafuasi wao kwa ujinga wao
 
Tena wapumbavu kama trump anavyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…