Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mito ya pombeKatika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana 😅
Al-Baqara 2:25watu wanaangamia kwa kukosa maarifa tuma hilo andiko linalosema mtapewa "uzima wa milele" kutoka kwenye Quran elewa swali langu
wewe hauna utofauti na huyo shekhe hapo anavyo kaa kuongea vitu ambavyo vipo katika nadharia na sio ufahamu hebu onesha wazi kuwa mtapewa uzima wa milele kama livyo oneshwa wazi starehe za wanawake na pombe onesha kitu kinacho onekana sio unakaa kwenye nadharia
Kwani Qur'an kaandika huyo "Ostaz" hadi ukasirike? Yeye katoa jibu toka kitabu aliçhoandika Allah, kosa lake nini hadi awe very stupid?Hii tabia huwa inanikera sana yaan wanafanya waafrika tunaonekana tupo duniani kwa bahati .mbaya...huyo ustadhni very stupid japokuwa mimi pia ni muislam
Yaani hatari aise😂😂😂😂😂😂😂Katika mambo mengi tuliyopigwa na waraabu, hili la kwamba mbinguni tutatumia lugha ya kiarabu tu, na lile la kuzawadiwa mabikra 72 ni mambo ambayo huwa yananichekesha sana 😅
Wanajisahau sana...Mkuu Mzanzibar ukimwambia umefanana na Msukuma ana kasirika na kukutukana lakini ukimwambia umefanana na Mwarabu ana furahia.
Ndio maana Quran wanafundiswa kukariri na sio kuhojiWanakuambia mtu anazaliwa akiwa ni muislam. Cha ajabu mafundisho ya uongo yameshika watu wengi sana duniani wanayaamini. Waislam huwa hawahoji mafundisho yao kama ni ya kweli au uongo. Mafundisho ya kikristo yenyewe tu yanamfanya muumini wake kuyaamini kwa hekima na busara sana huku yakimfanya muumini kuwa huru kuamini au kutokuamini yaani kuwa na akili ya kupambanua mafundisho ya kweli au uongo
Kuna Qur'an na hadithi huyo shehe kaitoa wapi hiyo? Hebu fafanuaKwani Qur'an kaandika huyo "Ostaz" hadi ukasirike? Yeye katoa jibu toka kitabu aliçhoandika Allah, kosa lake nini hadi awe very stupid?
Imagine😂😂😂Na mito ya pombe
Mbona Mito ya pombe hujataja!Nilichogundua ni kuwa, Quran ni advanced book, ambapo mtu anatakiwa awe anaelimu nyingine ya kawaida ya darasani na Elimu ya foundation ya uislam Ndio aweze kusoma na kuielewa vizuri. Ni elimu inatakiwa hapa na sio kufunuliwa.
Sasa wasomi wetu wengi tu ni wale ambao hawana elimu nyingine, hivyo wanaposoma Quran wanashidwa kutafsiri sawasawa
Mfano; Quran imeelezea vizuri Solar system & Milky Way galaxy na kwamba zipo jumla ya 7 kwa kwenda juu. Inamaana sisi (ulimwengu) upo galaxy ya kwanza chini kabisa..... na mengine meeeeeengi...ila kama huna elimu nyingine huwezi kuelewa sawasawa...
Kuna Sura pia zimeandikwa KWA MIFANO tu zikielezea mambo mbalimbali mfano UZURI WA PEPONI kwa watakao fuzu; Unaweza kusoma kitu kama, kutakuwa na mito ya Asali, Maziwa nk nk nk kilicho maanishwa pale ni kuwa; vitu vingi/vyote binadamu wanavyopenda huku duniani vitakuwapo peponi na bila kiasi (bila kupimiwa), sasa hawa wasomi wasio kuwa na msingi wa Elimu ndio hupotosha watu.....
Sisi tutaamini vipi kuwa hiki ulichokiandika kimetoka huko kwenye kipindi Cha dini ya kiislamu?Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-
Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?
Sheikh kamjibu:-
Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎
Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu
Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Hizi dini zilizotungwa na matapeli zitazidi kutesa wafuasi wao kwa ujinga waoLeo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-
Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea lugha gani?
Sheikh kamjibu:-
Huko peponi watu wote watakua Weupe waarabu, na wote watakua Waislamu na lugha itakayokua inatumika huko peponi NI kiarabu tuu na hakuna lugha nyingine 😎
Sheikh anaendelea kwa kusema hata huku DUNIANI binadamu wote NI Waislamu japo kila mtu anaimani yake lakini wote wakiingia peponi wanakua Waislamu
Najiuliza hapa Watu weusi mbona kama tunakua watumwa Sana WA DINI? ?
Tena wapumbavu kama trump anavyosemaLeo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :-