Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Hivi Magufuli si huwa anasema alikuwa masikini lakini leo Rais...

Hivi Kikwete si kaandika kitabu chenye jina "Kutoka kijana mtembea peku hadi kuwa Rais"...

Hivi Bakhressa si alikuwa fundi mshona viatu K'koo...

It's always possible to build something out of nothing
 
Kwa hiyo nitembee kifua mbele huku nikiwa na matumaini kuwa siku moja nitakuwa "mtu fulani" sio!![emoji39][emoji39]
 
Jichanganye umwoe utakuja kulia siku moja!
Otherways huyo mdada ana ajira au elimu ya kuweza kujisimamia hata kwenye biashara iwapo akiwezeshwa na umpime katika hilo kabla hujamwoa ila kama mama wa nyumbani jipange kuhudumia kwao kila mwezi wanaomba hela na ukute ni zile familia zenye watoto wengi jiandae na kusomesha.
Kingine wanawake waliotoka familia maskini sana ndo wanabadirika na kuwa na roho mbaya badae hubagua ndugu zako na huweza hata kusubiri mkishafanikiwa kidogo kwenye maisha wanatafuta sababu muachane ili mgawane mali
Ngoja niishie hapo kwanza!
 
Na kushauri mchukue tu sawa msaada kwa familia yao utaombwa ila sio zaid ya unavyo fikiria na ndy itakua moja kati ya chachu ya kupambana kwa bidii ili mjinasue wote kutoka kweny hali ngumu ya kimaisha
Mdanganye tu.!
 
Halafu nimekumiss sana ujue!

Ngoja nije chemba.

Nimekumiss zaidi
Halafu leo mchana nilitaka nikuulize kitu(cha kijinga) nikahofia utauona ujinga wangu....halafu badae nikajisemea kwa wewe hata ukiujua ujinga wangu haina shida 😅😂
 
Nilichojifunza wengi waliochangia uzi huu hawana uzoefu na mabinti waliotoka familia maskini
 
Naona kama tayari umeji nyanyapaa kwa kujiwekea tabaka. Na ukasahau kwamba penye mapenzi ya dhati, tabaka halina nafasi. Yaani penzi la kweli hakichagui kamwe.
Nakuona tayari ukishindwa kulimudu ama kufanya maisha na yule umpendae kwasababu tayari umejiona kama haumfai/hautoshi
 
kiukweli ni masikini wa mali tu lakini akili, hekima, busara anazo. sio slay queen. sema tu kuna muda najiwa na woga kua muhimili wa familia mbili.
 
Nimekumiss zaidi
Halafu leo mchana nilitaka nikuulize kitu(cha kijinga) nikahofia utauona ujinga wangu....halafu badae nikajisemea kwa wewe hata ukiujua ujinga wangu haina shida 😅😂

Ha ha ha, eti cha kijinga!

Nasubiri uniulize, ni hapa hapa au PM?
 

Anatafuta mseleleko huyo.
 
Wealth or success is not sexually transmitted.
Cha muhimu kila mmoja apambane ili muweze ku move from wherever you are to the next
 
Duh! kaka kama unamjua, wako wengi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…