Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Kama mchumba wako nayeye anakazi muoe tu mtakua mnasaidizana kinyume Cha hapo mh!!!

Binafsi mme wangu kwa ni masikin Sana mi kwetu kidogo mambo Safi....
tatizo linakuja yan tunasaidia ndugu wa mume mpaka mtu unachoka sababu utasaidia mama, baba, wajomba, mashangaz, mashemeji , mawifi mpaka na watoto wao tunasomesha sababu unakuta mtoto kafaul wazazi wake hawana uwezo anakufata anashida hapo lazima yan maendeleo tumesahau kwa muda
Kila mwez tunatuma kwao matumiz lak 2.....
Tuna wadogo zake 2 wanasoma private tuanalipa ada ...watoto wa Dada ake 3 ..2 wapi vyuo hawana mkopo tunalipa sisi mmoja chuo private Cha nurse ada mil 2.5 hapo bado matumiz ya kila mwez
Mpaka Mimi nimechoka kutoa za kwangu sababu mwenzangu anaishiwa kabisa matumiz nabaki napambana Mimi ndani ..
Yan sikushaur kabisaaaa
 
Ni suala ya mda tu hiyo ndoa inaenda kufa.
 
Maleven,
Umaskini sio sifa nzuri kwahiyo pigana utoke kwenye umaskini, ushauri wangu ni GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
Mpende yeye Achana na umaskini wa kwao sio jukumu lako.
 
USIOE MWANAMKE MASKINI.
 
Huyo ndio mnaeendana ... tajiri hatakupenda chalii yangu hata akikupenda msichana familia yake itakudharau na kukuchukia sana...tafuta... badili maisha yako na ya huyo mtarajiwa wako...kila la heri..mabaharia huku bado tunabinya binya na kuonja tu...



Mkuu umenena mkweli mtupu, ukitaka kupata demu aliyefanikiwa wakayi huo huo wewe huna lolote ni sawa na kufungulia koki ya stress mzee. Ni wanawake wachache sana waliotayari kuishi na mwanaume asiyenacho. Kwahiyo huyu jamaa mie namshauri kama huuo mwanamke anampenda kwa dhati amuoe. Kila lililo la kheri
 
Maji yanafuata mkondo
 
Umeshwai kuongea naye embu zungumzeni mm kuna watu nitatoa msaada kidogo sana kwao kama mtto was mjomba, shangazi,mamadogo,, mama mkubwa, nitatoa msaada was size ya kati ila wadogo zangu nitawapa home mtajii wafuge au duka wajiendeshe wenyewe huwezi saidia ndugu kila siku maana siku ukija kupata tatzio watakao umia ni mkeo na wanao ndugu watakuwa wanabenua mdomo tu
 
Umaskini wa familia zenu una(ta)athiri vipi mapenzi yenu?
 
Kwani viashiria vya mtu maskini au aliyetoka kwenye family maskini huwa vipoje? Au mtu maskini ni yupi??
 
Utaweza kumuoa tajiri. Cha muhimu ni furaha yenu sio mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…