happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Kama mchumba wako nayeye anakazi muoe tu mtakua mnasaidizana kinyume Cha hapo mh!!!
Binafsi mme wangu kwa ni masikin Sana mi kwetu kidogo mambo Safi....
tatizo linakuja yan tunasaidia ndugu wa mume mpaka mtu unachoka sababu utasaidia mama, baba, wajomba, mashangaz, mashemeji , mawifi mpaka na watoto wao tunasomesha sababu unakuta mtoto kafaul wazazi wake hawana uwezo anakufata anashida hapo lazima yan maendeleo tumesahau kwa muda
Kila mwez tunatuma kwao matumiz lak 2.....
Tuna wadogo zake 2 wanasoma private tuanalipa ada ...watoto wa Dada ake 3 ..2 wapi vyuo hawana mkopo tunalipa sisi mmoja chuo private Cha nurse ada mil 2.5 hapo bado matumiz ya kila mwez
Mpaka Mimi nimechoka kutoa za kwangu sababu mwenzangu anaishiwa kabisa matumiz nabaki napambana Mimi ndani ..
Yan sikushaur kabisaaaa