Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
ukweli nampenda huyu mwanamke na naamini nae ananipenda, natamani tuje kuishi pamoja(mke na mume), mimi natoka familia masikini(naweza sema sana) ila mwenzangu amezidi.

nimejitoa kua kwa lolote nijitahidi kwa kadri nitakavyoweza, ila kuna muda kuna kasauti kananijia kua haya majukumuni makubwa sana hovyo kama kananishawishi ni stop.

Silelewi. ingawa kwa asilimia kubwa moyo unanituma kukomaa nae as long personally tuna match.
 
Kama ni masikini wa Mali tu lakini matajiri wa akili, busara na hekimu you are safe brother.....lakini kama ndo ni slay queen...hana future...hana akili..hana mwili wa kimabavu wa kuchakarika mean anamiliki maneno ya ushawishi tu TUTATAFUTA you are not safe
 
Huyo ndio mnaeendana ... tajiri hatakupenda chalii yangu hata akikupenda msichana familia yake itakudharau na kukuchukia sana...tafuta... badili maisha yako na ya huyo mtarajiwa wako...kila la heri..mabaharia huku bado tunabinya binya na kuonja tu...
 
Back
Top Bottom