Niko njia panda na mwanamke huyu naomba ushauri wenu

Niko njia panda na mwanamke huyu naomba ushauri wenu

Mimi sina la kusema zaidi ya kusoma comment za maoni ya watu
FB_IMG_1742123999347.jpg
 
Una furaha ukiwa nae au unajitoa mhanga!!?

Uchumba sugu kama miaka mitano hivi kwanza!mpe home mpe kids nenda kajitambulishe kwao halafu ndoa pause kwanza!!

Madem wa kaskazini wanajua sana kunyatia ndoa yaani utapewa mapenzi Hadi mtaji utapewa Ili uingie mzigoni,ukishaingia matatafuta life kwa Kasi na kulipata baada ya hapo sarakasi sarakasi!unaelewa sarakasi!!?

Amekuelewa we bado mdogo na anakumudu kishaona!!
Kazi kwako!
 
Wakuu Heri ya Eid El fitr Kwa waislamu na kwaresima njema Kwa wakristo wenzangu. Niko mkoani Mbeya nimekutana na Binti Muiraki (Mwiraq) kutoka Arusha kanisani amenizidi Miaka miwili Lakini ni wife material haswa ukimwangalia... Anapambana...ana malengo yake na ni mcha MUNGU. Sura na Shepu usiseme Mashalaah!!!

Changamoto inakuja amenizidi umri ILO moja pili historia yake ya nyuma aisee Alikuwa ni receptionist Lodge kadhaa HAPA Mjini na badaye akaacha KAZI iyo baada ya kukosana na mfanyakazi mwenzake wa Kike akidai kuwa Uyo Dada alimroga kizazi Kwa kumuhisi kuwa ANATOKA na boss AMBAYE Alikuwa Mpenzi wake Kwenye hizo lodge.

Tumepima Afya wote Tuko sawa na amenielewa vibaya mno Yuko tayari Kwajili ya ndoa na amenikopesha kama million 3 Hivi Kwajili ya biashara zangu. Najiuliza nimuoe au lah! Kwasasa yeye anauza duka la Nguo ambalo amepambana kufungua Hadi limesimama. Nipo Sebureni naangalia Naye Kombolela Nasoma Ushauri wenu wakuu.
Kataa ndoa. Ndoa ni utapeli.
 
Back
Top Bottom