kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Naunga mkono hojaMUOE HARAKA SANA KABLA HAWAJAMCHUKUA WENGINE
Naunga mkono hojaMUOE HARAKA SANA KABLA HAWAJAMCHUKUA WENGINE
Mkuu kwa utamaduni wa hapa, anaeoa ni anaetoa mahali. Sasa kijana keshapokea fedha ya 'mshangazi'. 🤭Comrade, wewe jilipue tu. Oa huyo mwanamke. Na kama utapata changamoto zozote zile, utarudi kutupa mrejesho ili tukupe tena ushauri wa nini cha kufanya.
Beki hazikabi ni kama zile beki za kolo zilizokula kono la nyani.Wakoje mkuu...nawaza Pia kuzaa Naye ila gap la umri Daah japo pisi Kali Kweli.
mkuu mshahara wa receptionist huwa haizidi laki 2 kwa miaka miwili ukitoa matumizi kula kulipa kodi sema amebaki na elf 80 kwa mwaka kwa miaka miwili ni kama m3.6 hapo amejibana sana kiufupi huyo manzi ametumika sana na ameamuamua kuachna na ya dunia ila anakili sana nakushauri umuoeeAnanikubali mkuu maana nampiga Mashine balaaa na kingine SIO kuwa ni mbangaizaji million 3 yake Naweza pata Kwenye biashara zangu kwa wiki moja mkuu SIO kuwa nahongwa.
Mke huambiwi na watu bali ni wewe mwenyewe ndio unaamua,historia ya nyuma haina impact yoyote amua wewe,tena amua sasaWakuu Heri ya Eid El fitr Kwa waislamu na kwaresima njema Kwa wakristo wenzangu. Niko mkoani Mbeya nimekutana na Binti Muiraki (Mwiraq) kutoka Arusha kanisani amenizidi Miaka miwili Lakini ni wife material haswa ukimwangalia... Anapambana...ana malengo yake na ni mcha MUNGU. Sura na Shepu usiseme Mashalaah!!!
Changamoto inakuja amenizidi umri ILO moja pili historia yake ya nyuma aisee Alikuwa ni receptionist Lodge kadhaa HAPA Mjini na badaye akaacha KAZI iyo baada ya kukosana na mfanyakazi mwenzake wa Kike akidai kuwa Uyo Dada alimroga kizazi Kwa kumuhisi kuwa ANATOKA na boss AMBAYE Alikuwa Mpenzi wake Kwenye hizo lodge.
Tumepima Afya wote Tuko sawa na amenielewa vibaya mno Yuko tayari Kwajili ya ndoa na amenikopesha kama million 3 Hivi Kwajili ya biashara zangu. Najiuliza nimuoe au lah! Kwasasa yeye anauza duka la Nguo ambalo amepambana kufungua Hadi limesimama. Nipo Sebureni naangalia Naye Kombolela Nasoma Ushauri wenu wakuu.
Zee la Yanga bure kabisaKataa ndoa wewe! Ndoa ni ubatili! Kula hela zake halafu pita zako kule. (Huu ni ushauri wa kataa ndoa. Siyo wa kwangu tafadhali)
JidanganyeMke huambiwi na watu bali ni wewe mwenyewe ndio unaamua,historia ya nyuma haina impact yoyote amua wewe,tena amua sasa
Ila wakuu, kuna malaya nshawah kupiga aisee mbunye inabana knoma utadhani haitumiki 🔥Usimuhukumu mtu kwa matendo yake ya nyuma.
Huyo keshamaliza yote hivyo yupo tayari kutulia.
View attachment 3288012