KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
- Thread starter
-
- #21
SAWA mkuu ntakupa mdogo Ake Sisi ni wamoja na silaha yetu ni ile ya Simba NGUVU MOJAHata ukitaka nikutunzie kwa muda wakati unaendelea kutafakari uamuzi sahihi wa kuchukua, nipo tayari kiongozi. Si unajua sisi Watanzania wote ni ndugu.
Wakoje mkuu...nawaza Pia kuzaa Naye ila gap la umri Daah japo pisi Kali Kweli.
Sitampiga dhuruma ni adui WA mafanikio Kwa sisi tunaoamini kwenye KARMAPast life ya mtu hainaga kitu na maisha ambayo ameamua kubadilika,
Sema huyo dada amenikera kuanza kukopesha kaboyfriend ambako baadaye katampiga hiyo pesa na wataachana vibaya
Ulikuwa una reply huku unachamba mkuu maana spelling error nyingi....Jinsi unavyoandika tu inaonesha kochwa tikiti maji, ubongo kitenesi...
Mzee mwenzangu we unaonaje hapo kwani?,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kataa ndoa wewe! Ndoa ni ubatili! Kula hela zake halafu pita zako kule. (Huu ni ushauri wa kataa ndoa. Siyo wa kwangu tafadhali)
Type ndo nini wewe kengeHuyo mwanamke sio type yako , yeye ndiye alitakiwa kuomba ushauri kuolewa na boya boya.
Kule kwetu Arusha wengi wanawafanya beki tatu au barmaidNdioo mkuu nioe au nizae Naye tu
Kataa ndoa. Ndoa ni utapeli.Wakuu Heri ya Eid El fitr Kwa waislamu na kwaresima njema Kwa wakristo wenzangu. Niko mkoani Mbeya nimekutana na Binti Muiraki (Mwiraq) kutoka Arusha kanisani amenizidi Miaka miwili Lakini ni wife material haswa ukimwangalia... Anapambana...ana malengo yake na ni mcha MUNGU. Sura na Shepu usiseme Mashalaah!!!
Changamoto inakuja amenizidi umri ILO moja pili historia yake ya nyuma aisee Alikuwa ni receptionist Lodge kadhaa HAPA Mjini na badaye akaacha KAZI iyo baada ya kukosana na mfanyakazi mwenzake wa Kike akidai kuwa Uyo Dada alimroga kizazi Kwa kumuhisi kuwa ANATOKA na boss AMBAYE Alikuwa Mpenzi wake Kwenye hizo lodge.
Tumepima Afya wote Tuko sawa na amenielewa vibaya mno Yuko tayari Kwajili ya ndoa na amenikopesha kama million 3 Hivi Kwajili ya biashara zangu. Najiuliza nimuoe au lah! Kwasasa yeye anauza duka la Nguo ambalo amepambana kufungua Hadi limesimama. Nipo Sebureni naangalia Naye Kombolela Nasoma Ushauri wenu wakuu.