Niko njia panda na mwanamke huyu naomba ushauri wenu

Kama huna malengo na rudisha hiyo 2M yake, Akija siku kugundua kuwa huna plan nae atatoa uchi kwa Maafande utalala ndani kama mbwa. Ushauri wangu harusi ni jambo la kheri chukua mzigo weka ndani umri ni namba tu Dogo.
 
Ananikubali mkuu maana nampiga Mashine balaaa na kingine SIO kuwa ni mbangaizaji million 3 yake Naweza pata Kwenye biashara zangu kwa wiki moja mkuu SIO kuwa nahongwa.
mkuu mshahara wa receptionist huwa haizidi laki 2 kwa miaka miwili ukitoa matumizi kula kulipa kodi sema amebaki na elf 80 kwa mwaka kwa miaka miwili ni kama m3.6 hapo amejibana sana kiufupi huyo manzi ametumika sana na ameamuamua kuachna na ya dunia ila anakili sana nakushauri umuoee
 
Mke huambiwi na watu bali ni wewe mwenyewe ndio unaamua,historia ya nyuma haina impact yoyote amua wewe,tena amua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…