Niko njia panda, ushauri unahitajika

Niko njia panda, ushauri unahitajika

huggies 30,000 week 1
Ukunga 150,000 gharama za bima bila bima 750,000
Cerelac 30,000
Maziwa 30,000 mwezi
Set ya nguo,bebishow, mabeseni, chupa za maziwa andaa 500,000
Usafiri 50,000

Vingine wataongezea wadau.Tafakari chukua hatua!
[emoji16][emoji16][emoji16] daaah
 
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.

Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.

Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina, nategemea tuhela twa boom (meal and allowance). Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..

Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Wakati unamwagia ndani ulitegemea nn?
 
UKIMWI umepima?
 
Nani aliyekwambia umefanya kosa? Kumpa mimba binti ukiwa chuo wala sio kosa. Kuna faida nyingi sana kama ukija kumuoa huyo binti na mkaendeleza familia yenu. Mimi nilimpa mimba mke wangu nikiwa second year chuo na nilikuwa na wasiwasi ila nikapiga moyo konde akazaa mtoto na baada ya miaka mitatu nikamuoa. Kwa sasa nina miaka 43 mtoto wangu yuko chuo kikuu nje ya nchi mwaka wa pili (umri kama wako). Nasubiri amalize apate kazi. Wenzangu ambao tuko umri sawa vitoto vyao ndio viko la saba kwa sasa. Nakaribia kuitwa babu kama mwanangu nae akitembelea nyota yangu ya ngono zembe

So dogo lea mimba waambie wazazi na uje kumuoa huyo binti faida utaziona baadae. Watu wengi wanaanza kusomesha watoto chuo wakati wanakaribia kustaafu. Wewe utamaliza kusomesha mtoto ukiwa 45 kisha una-concentrate na maendeleo mengine. Na asikwambie mtu kusomesha kazi sana ukilifanya mapema kutokana na kupata watoto mapema utatoboa kimaisha
Safi mkuu,Umemshauri vizuri.
 
Maisha yana mambo ya ajabu sana
Mtoto yako tumboni
Watu wakitoa ushauri wa kutoa mimba,dogo hatakuwa na chance ya kuishi
Watu wakimshauri lea mkuu pata picha mzazi wako naye angetoa dogo atapata chance ya kuishi

Yaani huwezi amini uhai wa mtu unaamliwa hiki tunachoandika

wewe bwana huyo ni mwanao,HAKUNA USHAURI MWINGINE NAWEZA KUPA.
MPE CHANCE HUYO DOGO,UTANIKUMBUKA

WASALAAM,miminimkulimaakachekasana

9af4f014524af5daa505492ca56ca6cf.gif
 
Back
Top Bottom