Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Inategemea na wazazi. Wengine ni wakali na wanataka mpaka umalize kile kitu unachofanya (masomo) ndiyo uingie kwenye familia maana wanaona km ulienda kutafuta mapenzi na siyo elimu.
Mzazi mwenye huruma siku zote ni Mama tu
Mzazi mwenye huruma siku zote ni Mama tu
kwa nini asiwaambie ndugu? kwani kuna kosa kafanya. Kumpa mimba mtu lazima kuwe na taarifa kwa wazazi kwa pande zote husika. Atakayezaliwa anaunganisha familia nzima tusifiche