Niko njia panda, ushauri unahitajika

Niko njia panda, ushauri unahitajika

Kuna kipindi jamaa alitaka kunipiga exile, nikagoma. Jamaa alichukia
Chumba ufanye guest house. No
Nyie ndiyo wasababishi. Wakitongozwa tu, wanakubali hata hawezi kumshauri jamaa yake wakafanyie guest house. Tendo linahitaji faragha na usiri
Washikaji wanajua na mwanamke anajua anaenda kuliwa na wala hawaoni aibu
Mimi nilishawahi pigwa exile na dogo mmoja rum tulikuwa wawili tu,tena amenikuta na ndo kalikuwa kanaanza 1st yr.
Nilimwambia kistaarabu tu
Kumbe hakunielewa,siku alipotaka kurudia aisee niliwatoa nduki..kwanza nilianza kuwachamba pale yeye na kajamaa kake.
Niliwachamba hatari

Wajinga Sana,badala wasome wanakaa kupigana exile.
 
Kuna kipindi jamaa alitaka kunipiga exile, nikagoma. Jamaa alichukia
Chumba ufanye guest house. No
Nyie ndiyo wasababishi. Wakitongozwa tu, wanakubali hata hawezi kumshauri jamaa yake wakafanyie guest house. Tendo linahitaji faragha na usiri
Washikaji wanajua na mwanamke anajua anaenda kuliwa na wala hawaoni aibu
Aibu itoke wapi chief? Hata unaowaonea aibu nao wanakula na kuliwa kila siku pia
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu unajutia kumpa mimba mwanamke?? Au upo certificate mkuu??
Na sasa hivi pampas zimepanda bei kazi unayo...maziwa ya SMA bei ya kopo ni elfu 45-50 na linatumika kwa wiki moja tu.bado mazaga mengine hapo..pole sana

Hayo maziwa mnayoongelea hapa Ni maziwa gani?? Ya dukani?? Kwa ajili gani?? Kwa ajili ya mtoto?? Mama yake atakuwa hana maziwa??

Yaani kabisa mtoto wangu umnyonyeshe maziwa ya ng'ombe kabisa serious??

Wanaume acheni upumbavu, watoto wenu wananyonyeshwa maziwa ya mang'ombe mnaangalia tu mnachekelea na huku mama zao hawana matatizo ya kiafya!!!

Kama wewe Ni mwanaume na mtoto wako ananyonyeshwa/alinyonyeshwa maziwa ya ng'ombe wakati mama yake hakuwa na matatizo ya kiafya..WEE MWANAUME NI MATTERCORE..SHITHOLE
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu unajutia kumpa mimba mwanamke?? Au upo certificate mkuu??

Hayo maziwa mnayoongelea hapa Ni maziwa gani?? Ya dukani?? Kwa ajili gani?? Kwa ajili ya mtoto?? Mama yake atakuwa hana maziwa??

Yaani kabisa mtoto wangu umnyonyeshe maziwa ya ng'ombe kabisa serious??

Wanaume acheni upumbavu, watoto wenu wananyonyeshwa maziwa ya mang'ombe mnaangalia tu mnachekelea na huku mama zao hawana matatizo ya kiafya!!!

Kama wewe Ni mwanaume na mtoto wako ananyonyeshwa/alinyonyeshwa maziwa ya ng'ombe wakati mama yake hakuwa na matatizo ya kiafya..WEE MWANAUME NI MATTERCORE..SHITHOLE
Mkuu umekuwa mkali
 
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.

Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu,nilibahatika kumpata mwenza wa first year wa chuo fulani cha mipango.Sasa tumedumu takribani miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.

Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina,nategemea tuhela twa boom(meal and allowance).Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..

Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Acha uzwazwa ww jitutumue lea io mimba na wazee piga panga za maana ukimaliza chuo uone watavyofurah kupata mjukuu

Tatizo lenu ninyi vijana wa sasa mnawaona wazaz wenu km MUNGU wao wrnyewe huko wamepitia sn tu
 
I admit ni mistake nimefanya mkuu,ila mkuu hakuna ambaye hajawahi fanya makosa.
Watu wengi katika jamii tunapenda Sana kulaumu wengine Kama vile sisi pia hatufanyi makosa. Pole Sana kwa Changamoto hiyo
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu unajutia kumpa mimba mwanamke?? Au upo certificate mkuu??

Hayo maziwa mnayoongelea hapa Ni maziwa gani?? Ya dukani?? Kwa ajili gani?? Kwa ajili ya mtoto?? Mama yake atakuwa hana maziwa??

Yaani kabisa mtoto wangu umnyonyeshe maziwa ya ng'ombe kabisa serious??

Wanaume acheni upumbavu, watoto wenu wananyonyeshwa maziwa ya mang'ombe mnaangalia tu mnachekelea na huku mama zao hawana matatizo ya kiafya!!!

Kama wewe Ni mwanaume na mtoto wako ananyonyeshwa/alinyonyeshwa maziwa ya ng'ombe wakati mama yake hakuwa na matatizo ya kiafya..WEE MWANAUME NI MATTERCORE..SHITHOLE
Acha kutumia Hisia kuliko akiliii kijanaa...!! Wewe unadhani wanawake wote wana maziwa ya kutoshaaa???? Na pia anaweza akawa nayo ya kutosha lakini anafanya kaziii unadhani mtoto atanyonyooo dyudyuuu yakoo au????[emoji1782]
 
Ushajiuliza kwanini mtu akijirecord anafanya ngono anaonekana ni mtu wa ajabu sana mpaka BASATA inamfunga na kumpiga faini? Hao hao waliounda BASATA wanafanya mapenzi kila siku, kwanini wawashitaki wengine?
Ukielewa hilo ndiyo ujue kufanya ngono kunahitaji usiri na haitakiwi mtu ajue kama unaenda kugonoka. Wazazi wa sasa hivi ni tofauti sana na wazazi wa zamani maana wao tendo la ndoa huwa ni siri na haitakiwi watu/watoto wajue.
Nilishangaa sana kukuta vitoto vya miaka 4-5 vina hadithia yale wanayofanya wazazi wao. Aibu kubwa sana. Mtoto hata bado hajalala vizuri ushaanza kupiga mechi.
Aibu itoke wapi chief? Hata unaowaonea aibu nao wanakula na kuliwa kila siku pia
 
Kwanza hayo ni malipo ya ulichofanya. Jamaa acha uoga wasiliana na wazee wako home wape taarifa then mwambie binti huyo ndo mtoto wenu mkubaliane na hali halisi. Anza kupanga na kufanya michakato midogo ya kuingiza hela kutokana na hilo boom lako au hela unayotumiwa toka home kwenu ili uweze kujipanga taratibu kabla mimba haijawa kubwa. Hiyo ni baraka mzee haijalishi umekosea wapi. Jiamini kwa ulichonacho mzee alaf Mungu nae yupo muamini na changampto pia zipo hivyo hutakiwi kukata tamaa bali kusonga mbele. Komaa na masomo yako pia komaa na kutafuta mbinu ya kupata hela ukiwa bado unasoma mkuu. Msalimie mama Kijacho.
 
Kama na wewe utaruhusu mtoto wako anyonyeshwe maziwa ya ng'ombe ujue na wewe utaingia kwenye kundi la wanaume WAPUMBAVU..SHITHOLE
Maziwa ya ng'ombe wee umesikia wapi... Hapa inazungumziwaa FORMULA KIJANAA...!! 30000 KOPO LINAKAA SIKU 4[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.

Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu,nilibahatika kumpata mwenza wa first year wa chuo fulani cha mipango.Sasa tumedumu takribani miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.

Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina,nategemea tuhela twa boom(meal and allowance).Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..

Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Pole, hiyo ni mitihani ya kawaida mbona kaka.

Kwanza hongera kwa kutokuruhusu mimba itolewe, cha kufanya we kausha usiwaambie wazazi kuhusu huo ujauzito mpaka pale bidada atakapojifungua ndio uwaambie wazazi nyumbani kuwa una mtoto.. hivo hivo na upande wa mdada..

Mara nyingi nimekua nikiona reaction ya wazazi kati ya kwenda na mimba nyumbani na kuenda na mtoto nyumani, bora uende na mtoto mzazi atapanick na kukasirika ila hawez kukasirika kwa mda mrefu ilihali anamuona mjukuu wake apo ni lazima nafsi imsute..

Sasa hapo kwenye financial support ndiyo shida inabidi mjibane hilo hilo boom..na muanze kusave hela kwa ajili ya vitu na mahitaji ya mtoto na kwa ajili ya uzazi wa binti.

Muhimize dada asome kwa bidii ili hiyo mimba isiwe chanzo cha kufeli chuo au kutokutimiza malengo yake, pia bega kwa bega na uyo dada usioneshe kushtuka wala kujutia huo ujauzito maana atajisikia vibaya zaidi.. msapoti kwa namna yoyote ile na uwe mtu wa kwanza kumpa moyo kwa kipindi chote hiki.
Nawatakia maisha mema..
 
Anza kubet tu kijana .iyo Boom kubwa sana .weka stake ya buku 5 kwa match 2 uokote 20k bila tamaa...sahivi na weka adi 100k kwa match 2 au 3 naondka na 400k + plus kufungua biashara zingine soon navuta ndiga ya ndoto zangu..
 
Usimkatae mtoto, usitoe mimba na wala usimkatae mama kijacho. Tumia hilo hilo bumu vizuri utaona faida yake
Lea mtoto na mama yake huenda ndiyo mtoto wako wa kwanza na wa mwisho maana huwezi jua. Angalia biahara gani unaweza fanya ukiwa chuo na baada ya kutoka chuo ili uweze kulea familia yako.
Usimwambie ndugu yako yoyote maana unaweza kuwa ndiyo mwisho wa kusaidiwa kwako, siku ukiona mambo yamekuwa mazuri waambie. Hongera sana Baba kijacho
kwa nini asiwaambie ndugu? kwani kuna kosa kafanya. Kumpa mimba mtu lazima kuwe na taarifa kwa wazazi kwa pande zote husika. Atakayezaliwa anaunganisha familia nzima tusifiche
 
Hv nyie wasomi wa sku hz mna matatzo gan kitu kdogo unakuja kulialia hapa,aya ushauri gan unataka au unataka tukwambie basi toa mimba
 
Mdogo angu kaa chini tuliza akili mm kaka yako nakupa ushauri ufuatao.
1). Usitoe hiyo mimba mwache azae, gharama sio kubwa Sana Kama haina matatizo (kama haita msumbua). Usitoe narudia tena kuitwa baba kuna raha yake.
2). Kaeni chini mjiandae kulea hyo mimba, subir ifike miezi ya kuonekana kisha uwaambie wazazi wako maana labour process ina Mambo mengi vifo pia vinahusika either mama au mtoto au wote, (hatuombei hiv vitu Ila vinatokea so be careful).
3). Mpe Moyo Sana huyo bint, usimchukie Wala usimsumbue msikilize Sana kuliko mwanzo, onyesha upendo wa kutosha hata Kama ulikua na lengo la kupita. Hii itamsaidia Sana kisaikolojia yeye kua upo tayari kimajukumu pia itakusaidia ww kupanga mipango yako. Kwani na yeye atakusikiliza sana. (Hapa wanakua na maudhi fulani ya kiujauzito pia na kudeka kwingi na usumbufu fulani wa kimakusudi mpaka wanaboa, Ila yote wanapenda kuona wanajaliwa na kulindwa).
4). Anza kuweka boom lako kidgo kidgo pia hakikisha kila boom ukipata unajibana Sana na uanze kununua vifaa vya uzazi, (vitenge, kanga, baby shower, kofia, socks, mipira, nylon ya kujifungulia, nguo za watoto, andaa stock vyakula mapema. Hapa ndio penye umuhimu ndugu utakuja kunishukuru. Mambo yanakua mengi hasa nyama kavu kama unahic huna uchumi wa kutosha.
5). Hakikisha account yako isiwe chini ya laki 3. Maana ikitokea operation matumizi ya pesa yanaongezeka.
6). Kama anakaa hostel mtoe mpangie chumba Ila ww usikae nae. Ila mtembelee Mara kwa Mara, na papuchi iliwe Kama kawaida, tena kiroho safi kwa nguvu zote, tia Sana kipindi hiki, narudia tena tia Sana mzee utanue njia (hii niliambiwaga mm coz bint alikua anamiaka 18, nikaambiwa nitie sana na nikatia kweli na alijifungua salama sijajua Kama nikweli Ila nilikua Sana papuchi kipindi hiki, na wanapenda kuliwa Sana, hua ananikumbusha mpka leo kua nilimla Sana kipindi anaujauzito)
7). Mwandae mtu wa kumsaidia miezi ya mwishomwisho, Kama wote mtakua chuo, mwandae mama mtu mzima ndo itakua vzr zaidi Wana Moyo sana hawa watu, wanajua uzazi ni nn.
NB: Hapo najiandaa kuyakabili majukumu yako. alijifungua salama no raha Sana kuona kila mtu anambeba mtoto wako.
 
Back
Top Bottom