Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 554
- 848
[emoji16][emoji16][emoji16] daaahhuggies 30,000 week 1
Ukunga 150,000 gharama za bima bila bima 750,000
Cerelac 30,000
Maziwa 30,000 mwezi
Set ya nguo,bebishow, mabeseni, chupa za maziwa andaa 500,000
Usafiri 50,000
Vingine wataongezea wadau.Tafakari chukua hatua!
NajaNiliwahi pitia hiii hali
Njooo inbox nikueleze
Mkuu yatakukutaAlijua anamficha Mungu hamuoni,sasa hatimaye kamuumbua...
Wakati unamwagia ndani ulitegemea nn?Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.
Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.
Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina, nategemea tuhela twa boom (meal and allowance). Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..
Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Nimecheka SanaBro mbona Kama unatuchang'anya,una omba ushauri au umekuja kutushauri sisi tusimwagie ndani?!
UKIMWI umepima?Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.
Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.
Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina, nategemea tuhela twa boom (meal and allowance). Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..
Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Dah!!!,watu mnajua kuchekesha wenzenu.kwaiyo wewe unatoa ushauri au wewe unataka ushauri???? utakuwa UDOM wewe
Unazidi kumtisha jamaahuggies 30,000 week 1
Ukunga 150,000 gharama za bima bila bima 750,000
Cerelac 30,000
Maziwa 30,000 mwezi
Set ya nguo,bebishow, mabeseni, chupa za maziwa andaa 500,000
Usafiri 50,000
Vingine wataongezea wadau.Tafakari chukua hatua!
Haloo usimshauri hivyo mwenzako,ni dhambi kubwa sana.Jiulize wazazi wako wangeitoa mimba yako wewe leo ungekuwa wapi?Mhhh mbona hatari na nusu wazee...bora aitoe tuu
Sio mbaya utaitumia siku nyingine.Akili hio haikuwepo
Safi mkuu,Umemshauri vizuri.Nani aliyekwambia umefanya kosa? Kumpa mimba binti ukiwa chuo wala sio kosa. Kuna faida nyingi sana kama ukija kumuoa huyo binti na mkaendeleza familia yenu. Mimi nilimpa mimba mke wangu nikiwa second year chuo na nilikuwa na wasiwasi ila nikapiga moyo konde akazaa mtoto na baada ya miaka mitatu nikamuoa. Kwa sasa nina miaka 43 mtoto wangu yuko chuo kikuu nje ya nchi mwaka wa pili (umri kama wako). Nasubiri amalize apate kazi. Wenzangu ambao tuko umri sawa vitoto vyao ndio viko la saba kwa sasa. Nakaribia kuitwa babu kama mwanangu nae akitembelea nyota yangu ya ngono zembe
So dogo lea mimba waambie wazazi na uje kumuoa huyo binti faida utaziona baadae. Watu wengi wanaanza kusomesha watoto chuo wakati wanakaribia kustaafu. Wewe utamaliza kusomesha mtoto ukiwa 45 kisha una-concentrate na maendeleo mengine. Na asikwambie mtu kusomesha kazi sana ukilifanya mapema kutokana na kupata watoto mapema utatoboa kimaisha
Kuna kautamu fulani hivi amazingRafiki kumwaga ndani kuna rahaa yake wee acha tu
simtishii nampa uhalisia wa kitachomkutaUnazidi kumtisha jamaa
Bado ila soon nachekiUKIMWI umepima?
Ujue we dogo kiande kweli πππ unashangaa kula buku? Mimba ikikua mkeo atakula we utashinda njaa kabisa.Daaa kweli sema mzee na ulcers sasa buku perday mzozo
Liwalo na liwaloUjue we dogo kiande kweli πππ unashangaa kula buku? Mimba ikikua mkeo atakula we utashinda njaa kabisa.
Wanaachaga kukaa kutulia wanashinda kupiga exile halafu waje kulialia humu
Hahaha sure huwezi panda sperm ukavuna mahindi
Sawa auntyushindwe na ulegee bora nipige puli mpk mashine ibaki kijiti