Niko njia panda

Niko njia panda

Umri wake bado bhana 33....sema kufanya maamuz hapo simshauri sababu uongo umetangulizwa mbele....ilitakiwa awekwe Waz tangu mwanzo Ili achague
Ni kweli bado , ila vijana wengi wakifika umri huu huwa wanaona wamechelewa sana ! Peer pressure na watu wazima wanakua wanamuuliza sana !
Wengi wanajikuta wako kwenye haraka
 
Back
Top Bottom