Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,531 Reaction score 5,787 Sep 1, 2022 #21 Beesmom said: Umri wake bado bhana 33....sema kufanya maamuz hapo simshauri sababu uongo umetangulizwa mbele....ilitakiwa awekwe Waz tangu mwanzo Ili achague Click to expand... Ni kweli bado , ila vijana wengi wakifika umri huu huwa wanaona wamechelewa sana ! Peer pressure na watu wazima wanakua wanamuuliza sana ! Wengi wanajikuta wako kwenye haraka
Beesmom said: Umri wake bado bhana 33....sema kufanya maamuz hapo simshauri sababu uongo umetangulizwa mbele....ilitakiwa awekwe Waz tangu mwanzo Ili achague Click to expand... Ni kweli bado , ila vijana wengi wakifika umri huu huwa wanaona wamechelewa sana ! Peer pressure na watu wazima wanakua wanamuuliza sana ! Wengi wanajikuta wako kwenye haraka