implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Mtupie trump tuone kama mnawezaIla radi ikitengenezwa maabara UTAIKUBALI na KUITUKUZA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mtupie trump tuone kama mnawezaIla radi ikitengenezwa maabara UTAIKUBALI na KUITUKUZA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umewahi sikia chief karogwa?Unadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi??
Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
Mama ushungi aka shumiletaUnadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi??
Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
Kumbe Mungu atulinde tu. Wana viburi alafu wapuumbavu tuUkiwa na shaheed moja hakuna linaloshindkna kwanchi za East Africa half nasikia ni Milion 3 tu rejareja.
Hakuna air defense yeyote ya maana ukiwa na jambo lko lazma litiki
As Technology has its rule even the radi.Mtupie trump tuone kama mnaweza
October ifike tu kieleweke
Tupia anayeitwa maarufu zaidi na MwashambaUnadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi??
Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
Daaah🤣🤣Unadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi??
Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.