Niko porini gari inachemsha na sina maji. Je,niweke mkojo?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Salaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.

Wataalam wazoefu inaruhusiwa kuweka mkojo na engine ikapoa?
 
Mkojo sio issue ila ukifika sehemu salama....safisha radiator if possible tumia Coolant ili isije liwa na chumvi chumvi ya mkojo(in future)
SWALI:-
Una mkojo wa kutosha wa kujaza radiator?
 
Salaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.

Wataalam wazoefu inaruhusiwa kuweka mkojo na engine ikapoa?
Weka chumvi kwenye radiator Na Kila sehemu kwenye engine. Hasa ndani ya engine block
 
Salaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.

Wataalam wazoefu inaruhusiwa kuweka mkojo na engine ikapoa?
Mwilini mwako maji yapo?? Maana ata huo mkojo unaweza kuwa hauna
 
Back
Top Bottom