Niko porini gari inachemsha na sina maji. Je,niweke mkojo?

Niko porini gari inachemsha na sina maji. Je,niweke mkojo?

ikiwezekana weka mkojo ukipelea jikate uweke na damu itasaidia zaid .hayo ndio matatizo ya kuletewa lesen nyumban
 
chumvi hiyo plus joto la engine is equal to matobo kwa rejeta !!
 
taja location uagiziwe maji, najua hio barabara haikosi magari, au kama vipi nenda mtera pale kuna maji mengi
 
Weka huo mkojo kwenye "regetor" alafu rudia kucheck kwenye "dush board" uone kama kuna mabadiliko...

Lugha hii
 
Kuna ka-nembo kanaonyesha mtu anakojolea ile sehem ya tank la mafuta sijui kana maana gani
 
Unasafirije bila maji? acha gari hapo tembea utafuta maji
 
Mkojo unakua na acid sio mzuri......na ni uwongo kuwa umekosa maji kabisa, sema upo kijiji gani mimi nina coaster zinafanya route ya iringa dom watu wakubebee maji
 
Kama rejeta imepasuka ili uweze kuiziba kwa dharura pasulia yai moja kisha weka maji ile yai litaiva na litaziba panapovuja!ila kama maji yameisha huna jinsi ukiendelea utakaanga injini.
 
Back
Top Bottom