Niko porini gari inachemsha na sina maji. Je,niweke mkojo?

Niko porini gari inachemsha na sina maji. Je,niweke mkojo?

Salaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.

Wataalam wazoefu inaruhusiwa kuweka mkojo na engine ikapoa?
Picha
 
Back
Top Bottom