Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Salaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.
Wataalam wazoefu inaruhusiwa kuweka mkojo na engine ikapoa?
Weka chumvi kwenye radiator Na Kila sehemu kwenye engine. Hasa ndani ya engine blockSalaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.
Wataalam wazoefu inaruhusiwa kuweka mkojo na engine ikapoa?
Hahahahaha.... Labda ana abiria kwenye gari possibly watatoa ushirikianoMkojo sio issue ila ukifika sehemu salama....safisha radiator if possible tumia Coolant ili isije liwa na chumvi chumvi ya mkojo(in future)
SWALI:-
Una mkojo wa kutosha wa kujaza radiator?
Hahahahaha.... Labda ana abiria kwenye gari possibly watatoa ushirikiano
Weka chumvi kwenye radiator Na Kila sehemu kwenye engine. Hasa ndani ya engine block
Njia nzima ina mabomba na mito
Weka chumvi kwenye radiator Na Kila sehemu kwenye engine. Hasa ndani ya engine block
Mwilini mwako maji yapo?? Maana ata huo mkojo unaweza kuwa haunaSalaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.
Wataalam wazoefu inaruhusiwa kuweka mkojo na engine ikapoa?
ndio hapo nimejiuliza huyu jamaa ana mkojo kiasi gani wa kujaza radiatorMkojo sio issue ila ukifika sehemu salama....safisha radiator if possible tumia Coolant ili isije liwa na chumvi chumvi ya mkojo(in future)
SWALI:-
Una mkojo wa kutosha wa kujaza radiator?
ndio hapo nimejiuliza huyu jamaa ana mkojo kiasi gani wa kujaza radiator
HahahahaWeka chumvi kwenye radiator Na Kila sehemu kwenye engine. Hasa ndani ya engine block
Weka chumvi kwenye radiator Na Kila sehemu kwenye engine. Hasa ndani ya engine block