Niko tayari kutoa ng'ombe 30 kama kishika uchumba kwa Margareth Geddy.

Picha iko wapi sasa?
 
Attachments

  • 20240907_152924.jpg
    20240907_152924.jpg
    50.2 KB · Views: 6
Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari kutoa hizo ng'ombe zote zinazohitajika.
Kila la heri kwetu
Unasema uko tayari kutoa
Kumbe ni wazee wako ndio wanatoa
Ebu acha kubebesha wazee wako mzigo hizo ng'ombe ndio zimekusomesha ww mpk kufikia hapo
 
Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari kutoa hizo ng'ombe zote zinazohitajika.
Kila la heri kwetu
Ndoto hizi za njaa ni mbaya sana🤣
 
Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari kutoa hizo ng'ombe zote zinazohitajika.
Kila la heri kwetu
Mkuu weka Picha Kuna WATU WA VAR NA TBS.
😀😊😊
WAKUSAIDIE FOR EVALUATION.
 
Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari kutoa hizo ng'ombe zote zinazohitajika.
Kila la heri kwetu
Sasa ukishamuoa ndiyo mtazungumza kiswahili gani?
..."Ukiachana na hao ng'ombe 30 wa posa,pia nipo tayari kuongeza ng'ombe wengine 50 kama mahari.Ndoa yangu na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi.Na,wazee wangu kijijini wamedai wapo tayari kutoa hao ng'ombe wote wanaohitajika"...!
 
Kwahiyo bei yake ni milioni 150 hivi mleta mada? Mkimbona inakuaje? Utadai ngombe zako?

Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari kutoa hizo ng'ombe zote zinazohitajika.
Kila la heri kwetu
 
Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari kutoa hizo ng'ombe zote zinazohitajika.
Kila la heri kwetu
Kipengele, maali atoe mwingine kuoa aoe mwingine!
 
Back
Top Bottom