Niko tayari kutoa ng'ombe 30 kama kishika uchumba kwa Margareth Geddy.

Niko tayari kutoa ng'ombe 30 kama kishika uchumba kwa Margareth Geddy.

Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari kutoa hizo ng'ombe zote zinazohitajika.
Kila la heri kwetu
Ng'ombe inataka kutoa ng'ombe wenzake ipate ng'ombe mwenzake
 
Nundu ipo lakini?
Screenshot_20240930-090152.png

Hakiki mwenyewe 🤣
 
Dah,siku tamaa iliyowaka ndani yako ikiisha utajishangaa mwenyewe
 
Wewe utakuwa msukuma lazima hivi ng'ombe 50+30=80 ni tsh ngapi?!
 
JF bhana, mijitu unavimba halafu hata sehemu za kulaza mbupu zao hawana, hao wanawake sijui mtawaweka wapi
 
Mwanamke anapendeza akivaa gauni alafu ana msambwanda.
Pili napenda lile vibration wakati wa kudo ukilichapa chapa
Tatu napenda kufanya kama mto wangu wakati nimejipumzisha
Huendi mbinguni wewe 😁
 
Back
Top Bottom