Niko tayari kutoa ng'ombe 30 kama kishika uchumba kwa Margareth Geddy.

Niko tayari kutoa ng'ombe 30 kama kishika uchumba kwa Margareth Geddy.

Siendi mbingu ipi?
Hiyo hiyo mbingu uliyokuwa unamaanisha.
Waafrica waarabu wahindi roho zetu mbaya hatuendi mbinguni.
Mbinguni ni kwa wadhungu na wajapan tuu...wengine wote motonni
 
Mang'ombe ya nini, mambo ya kishamba, uza hao ng'ombe njoo na hela mjini, umvizie utamkula tu.

Tafuta namba yake, muwekee milioni moja ya vocha, alafu unamuomba account number yake una muingizia miloni 4 ya matumizi, ukiomba game unapewa faster
 
Back
Top Bottom