Niko tayari kutoa ng'ombe 30 kama kishika uchumba kwa Margareth Geddy.

Unasema uko tayari kutoa
Kumbe ni wazee wako ndio wanatoa
Ebu acha kubebesha wazee wako mzigo hizo ng'ombe ndio zimekusomesha ww mpk kufikia hapo
 
Ndoto hizi za njaa ni mbaya sana🀣
 
Mkuu weka Picha Kuna WATU WA VAR NA TBS.
πŸ˜€πŸ˜ŠπŸ˜Š
WAKUSAIDIE FOR EVALUATION.
 
Sasa ukishamuoa ndiyo mtazungumza kiswahili gani?
..."Ukiachana na hao ng'ombe 30 wa posa,pia nipo tayari kuongeza ng'ombe wengine 50 kama mahari.Ndoa yangu na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi.Na,wazee wangu kijijini wamedai wapo tayari kutoa hao ng'ombe wote wanaohitajika"...!
 
Kwahiyo bei yake ni milioni 150 hivi mleta mada? Mkimbona inakuaje? Utadai ngombe zako?

 
Kipengele, maali atoe mwingine kuoa aoe mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…