Bi zandile JF-Expert Member Joined Sep 12, 2024 Posts 301 Reaction score 856 Oct 3, 2024 #41 mzabzab said: Ata wewe huendi mbinguni pia 🤣🤣🤣🤣 Waafrica wote motoni kwa roho mbaya zao Click to expand... Siendi mbingu ipi?
mzabzab said: Ata wewe huendi mbinguni pia 🤣🤣🤣🤣 Waafrica wote motoni kwa roho mbaya zao Click to expand... Siendi mbingu ipi?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Oct 3, 2024 #42 Bi zandile said: Siendi mbingu ipi? Click to expand... Hiyo hiyo mbingu uliyokuwa unamaanisha. Waafrica waarabu wahindi roho zetu mbaya hatuendi mbinguni. Mbinguni ni kwa wadhungu na wajapan tuu...wengine wote motonni
Bi zandile said: Siendi mbingu ipi? Click to expand... Hiyo hiyo mbingu uliyokuwa unamaanisha. Waafrica waarabu wahindi roho zetu mbaya hatuendi mbinguni. Mbinguni ni kwa wadhungu na wajapan tuu...wengine wote motonni
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Oct 3, 2024 #43 Mang'ombe ya nini, mambo ya kishamba, uza hao ng'ombe njoo na hela mjini, umvizie utamkula tu. Tafuta namba yake, muwekee milioni moja ya vocha, alafu unamuomba account number yake una muingizia miloni 4 ya matumizi, ukiomba game unapewa faster
Mang'ombe ya nini, mambo ya kishamba, uza hao ng'ombe njoo na hela mjini, umvizie utamkula tu. Tafuta namba yake, muwekee milioni moja ya vocha, alafu unamuomba account number yake una muingizia miloni 4 ya matumizi, ukiomba game unapewa faster