Niko TRA Vingunguti hapa watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Niko TRA Vingunguti hapa baadhi ya watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue

Kwa nini sijawahi kushuhudia matukio isolated kama haya? Labda naweza react kitofauti. Adrenaline rush if you know what I mean.
 
Kwa hiyo wewe hujavaa
 
Attachments

  • IMG_20210129_095440.jpg
    IMG_20210129_095440.jpg
    38.9 KB · Views: 2
Kwa mwaka mmoja ambao Covid-19 'imekaa hapa nchini'... Kama tungekuwa wa kufa, tungekwisha pukutika wote.. Acheni uoga, endeleeni na maisha kama kawaida.
Izo barakoa kama zingekuwa zinasaidia, nchi za Ulaya Covid-19 ingekuwa imekwisha!
Barakoa hazina impact kwenye kuzuia Covid-19. Sana sana vaeni tu kama pambo.
Barakoa ni 'mradi' wa kina Dkt Antoni Fausi, kuzuga zuga umma ili umma uone kuwa something is happenning ili kina Fausi waendelee kulinda vyeo vyao.
 
Watanzania bana,barakoa zenyewe za kuzuia vumbi tu
 
Teuzi hizi bwashee
Teuzi gan acheni unafk , JPM kasema uvae barakoa usivae ni upon you ...Hapa DSM private sectors nyingi Tu bila barakoa hupati huduma , umeisikia serikali ikiwafungia vibali..... ?? Serikali imesema hakuna shuruti yyte kumlazimisha mtu ajikinge na Korona , ukiamua kuvaa barakoa poa, kujifukiza powa au kujiweka lockdown fresh ni wewe mwenyewe lakini serikali haitatoa shuruti yyte... Kama una Duka lako hutaki kuhudumia watu mpak wanawe au wavae barakoa ni wewe tuu
 
[emoji106]
 
Niko TRA Vingunguti hapa baadhi ya watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue

Kwa nini sijawahi kushuhudia matukio isolated kama haya? Labda naweza react kitofauti. Adrenaline rush if you know what I mean.
Bado unamsubiri Manager mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom