mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ungejibu kwanza.
Tangu watu waanze kutumika barakoa maambukizi yanapungua au yanaongezeka?
na ikiwa Corona inaambukiza kwa njia ya hewa me ukitumia barakoa hauvuti hewa?
Tangu watu waanze kutumika barakoa maambukizi yanapungua au yanaongezeka?
na ikiwa Corona inaambukiza kwa njia ya hewa me ukitumia barakoa hauvuti hewa?
Kwa hiyo maambukizi yameongezeka sababu watu wanatumia barakoa?
Ukiwa km mtaalam wa Afya uliebobea duniani tuambie jinsi gani tupunguze contact na majimaji yanayotoka kwenye mdomo au pua ya MTU alie na maambukizi