Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teuzi gan acheni unafk , JPM kasema uvae barakoa usivae ni upon you ...Hapa DSM private sectors nyingi Tu bila barakoa hupati huduma , umeisikia serikali ikiwafungia vibali..... ?? Serikali imesema hakuna shuruti yyte kumlazimisha mtu ajikinge na Korona , ukiamua kuvaa barakoa poa, kujifukiza powa au kujiweka lockdown fresh ni wewe mwenyewe lakini serikali haitatoa shuruti yyte... Kama una Duka lako hutaki kuhudumia watu mpak wanawe au wavae barakoa ni wewe tuu
Huyo manager ameteuliwa au amepanda kwa elimu hake?Teuzi hizi bwashee
Barakoa haimalizi Covid. Naomba niishie hapo nikuache ujiongeze wewe km weweKwa mwaka mmoja ambao Covid-19 'imekaa hapa nchini'... Kama tungekuwa wa kufa, tungekwisha pukutika wote.. Acheni uoga, endeleeni na maisha kama kawaida.
Izo barakoa kama zingekuwa zinasaidia, nchi za Ulaya Covid-19 ingekuwa imekwisha!
Barakoa hazina impact kwenye kuzuia Covid-19. Sana sana vaeni tu kama pambo.
Huo ni ubunifu wa kina Dkt Antoni Fausi, kuzuga zuga uma ili umma uone something is happenning ili kina Fausi waendelee kulinda vyeo vyao.
Kabla hujacomment Uzi uwe unafatilia current news bwashee. Do you know what happened in Moshi recently??!! If yes why can't you use your little brain to relate to the topic at hand?!!!Teuzi gan acheni unafk , JPM kasema uvae barakoa usivae ni upon you ...Hapa DSM private sectors nyingi Tu bila barakoa hupati huduma , umeisikia serikali ikiwafungia vibali..... ?? Serikali imesema hakuna shuruti yyte kumlazimisha mtu ajikinge na Korona , ukiamua kuvaa barakoa poa, kujifukiza powa au kujiweka lockdown fresh ni wewe mwenyewe lakini serikali haitatoa shuruti yyte... Kama una Duka lako hutaki kuhudumia watu mpak wanawe au wavae barakoa ni wewe tuu
Hivi unajua mortality rate ya COVID ? Unajua kwamba magonjwa mengine mengi yanaua zaidi ya COVID ? Unajua kwamba unaweza kupata COVID mpaka unapona hauna habari ? (ila kwa wakati huo unaweza ukawa super spreader unawaua watu wengineKwa mwaka mmoja ambao Covid-19 'imekaa hapa nchini'... Kama tungekuwa wa kufa, tungekwisha pukutika wote.. Acheni uoga, endeleeni na maisha kama kawaida.
Unajua Barakoa kwanini wanahimiza watu wavae ? ni kupunguza spreading kama wewe unayo usiwagawie watu waliokuzunguka; its not be it end all but it helps (katika vitu vichache vinavyosaidia) sio necessarily wewe bali yule ambaye ukimpigia chafya....Izo barakoa kama zingekuwa zinasaidia, nchi za Ulaya Covid-19 ingekuwa imekwisha!
Barakoa hazina impact kwenye kuzuia Covid-19. Sana sana vaeni tu kama pambo.
Huo ni ubunifu wa kina Dkt Antoni Fausi, kuzuga zuga uma ili umma uone something is happenning ili kina Fausi waendelee kulinda vyeo vyao.
Baeleze bamutu baelewe.Hivi unajua mortality rate ya COVID ? Unajua kwamba magonjwa mengine mengi yanaua zaidi ya COVID ? Unajua kwamba unaweza kupata COVID mpaka unapona hauna habari ? (ila kwa wakati huo unaweza ukawa super spreader unawaua watu wengine
Unajua Barakoa kwanini wanahimiza watu wavae ? ni kupunguza spreading kama wewe unayo usiwagawie watu waliokuzunguka; its not be it end all but it helps (katika vitu vichache vinavyosaidia) sio necessarily wewe bali yule ambaye ukimpigia chafya....
Of-course kuna njia nyingine ya kuacha bora liende watakaokufa / wafe haraka wenye immunity wabaki..... (kwahio next time ukiona mtu mwenye barakoa badala ya kumuona mpuuzi jaribu kufikiri labda he/she cares sio kwa niaba yake.., bali niaba yako (every little helps
😂😂😂😂😂😂😂😂 Bangi first classUfanyaji kazi wa barakoa ni sawa na chupi tu, ukivaa chupi na nje ukivaa jeans nzuri lakini ukijamba bado harufu ya ushuzi utatoka nje! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Zinapunguza maambukizi hasa hasa muathitika akivaa anaokoa wengi Sana.
Kwa hiyo maambukizi yameongezeka sababu watu wanatumia barakoa?Tangu barakoa zianze kutumika duniani kote vipi maambukizi yanapungua au yanaongezeka?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niko TRA Vingunguti hapa baadhi ya watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue
Kwa nini sijawahi kushuhudia matukio isolated kama haya? Labda naweza react kitofauti. Adrenaline rush if you know what I mean.
Zingekuwa barakoa za chini labda angevaaKwa hiyo wewe hujavaa
read between the lines bwashee