Niko TRA Vingunguti hapa watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue

Demokrasia ya hali ya juu sana ya JPM lakini wapigania Denokrasia wanapinga ,
 
Huyo manager ameteuliwa au amepanda kwa elimu hake?
Hujaelewa. Ukijikomba unaweza ukatolewa umeneja wa branch ukapelewa kua kamishna mkuu wa TRA and the likes. Vitu vidogo mpk ueleweshwe
 
Barakoa haimalizi Covid. Naomba niishie hapo nikuache ujiongeze wewe km wewe
 
Kabla hujacomment Uzi uwe unafatilia current news bwashee. Do you know what happened in Moshi recently??!! If yes why can't you use your little brain to relate to the topic at hand?!!!
 
Kwa mwaka mmoja ambao Covid-19 'imekaa hapa nchini'... Kama tungekuwa wa kufa, tungekwisha pukutika wote.. Acheni uoga, endeleeni na maisha kama kawaida.
Hivi unajua mortality rate ya COVID ? Unajua kwamba magonjwa mengine mengi yanaua zaidi ya COVID ? Unajua kwamba unaweza kupata COVID mpaka unapona hauna habari ? (ila kwa wakati huo unaweza ukawa super spreader unawaua watu wengine
Unajua Barakoa kwanini wanahimiza watu wavae ? ni kupunguza spreading kama wewe unayo usiwagawie watu waliokuzunguka; its not be it end all but it helps (katika vitu vichache vinavyosaidia) sio necessarily wewe bali yule ambaye ukimpigia chafya....

Of-course kuna njia nyingine ya kuacha bora liende watakaokufa / wafe haraka wenye immunity wabaki..... (kwahio next time ukiona mtu mwenye barakoa badala ya kumuona mpuuzi jaribu kufikiri labda he/she cares sio kwa niaba yake.., bali niaba yako (every little helps
 
Baeleze bamutu baelewe.
Watu Wana degree humu lakini uelewa wa covid ni zero wakati gonjwa tupo nalo meals hui SASA
 
Ufanyaji kazi wa barakoa ni sawa na chupi tu, ukivaa chupi na nje ukivaa jeans nzuri lakini ukijamba bado harufu ya ushuzi utatoka nje! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
sasa hii nayo ni ya kuiwekea headlines? si kuna ambao hawajavaa shida iko wap?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bangi first class
 
Tangu barakoa zianze kutumika duniani kote vipi maambukizi yanapungua au yanaongezeka?
Kwa hiyo maambukizi yameongezeka sababu watu wanatumia barakoa?
Ukiwa km mtaalam wa Afya uliebobea duniani tuambie jinsi gani tupunguze contact na majimaji yanayotoka kwenye mdomo au pua ya MTU alie na maambukizi
 
Niko TRA Vingunguti hapa baadhi ya watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue

Kwa nini sijawahi kushuhudia matukio isolated kama haya? Labda naweza react kitofauti. Adrenaline rush if you know what I mean.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…