Siyo akajitapishe...tamaa hizi nazo..Si uende ukanye mzee
Lamba majivu mzee au yapake tumboniBado mzigo haujachanganya
Unakaaje ukweniWakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Unaposema "wamekulisha mivyakula yao mpaka nimevimbiwa" unamaanisha nini? Kwa umri wako huo huwezi kugundua kama chakula ulichokula kimepita kwenye kiwango chako cha kawaida?Wakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Akanye tu ili apunguze jam tumboniSiyo akajitapishe...tamaa hizi nazo..
Kaandaliwa mikuku kabugia yote kadai na firigisi☹️🙄🙌
Chukua mfangio wa ndani ulifangie tumbo kuelekea chini baada ya muda utapata njaa isiyo mfano.Wakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Tafuta coca ya moto unywe, tafuta kona ujifiche UJAMBE😂😂😂Wakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Nenda jukwaa la great thinkersMaxence Melo hii ndio JAMII FORUMS HOME OF GREAT THINKERS?
Huu sio uchawi kweli??Chukua mfangio wa ndani ulifangie tumbo kuelekea chini baada ya muda utapata njaa isiyo mfano.