Niko ukweni halafu nahisi kuvimbiwa,nifanyeje?

Wakuu ebu tupeane mbinu.

Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.

Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Mwambie mkeo akupeke chooni,ukamalize haja zako na kwa mila za kiafrika,iwapo utajamba sana,hao wakwezo mara tu ukitoka chooni watabaraguzya maneno ili huko kujamba kwako kusiwe issue,hivyo usiogope
 
Kipindi unakula hujatukaribisha . Unatukaribisha kwenye kuvimbiwa uchoyo huo
 
Wakuu ebu tupeane mbinu.

Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.

Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
[emoji3516]
HAKIKISHA USIKU UNAKUNYA KWENYE SHUKA ILI MAMBO YASIWE MENGI!!!
MAANA HAKUNA NAMNA HAPO.
 
Dundumaga i-koleyo u-ngeni yu otuja ng`wigulu,
Fyotolo
Olinaku no amanyama,
Fyotolo.

Tumia mfagio kama ulivyoelekezwa na mdau hapo juu. Pia unaweza lamba majivu kidogo.
 
Wakuu ebu tupeane mbinu.

Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.

Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Mkuu wakati unafakamia matobolwa hukutushirikisha sasa iweje baada ya kuvimbiwa utushirikishe.

Naomba hilo liwe funzo.
 
Wakuu ebu tupeane mbinu.

Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.

Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Kazi ipo
 
Lamba dawa yeyote ya meno....utanishukuru baadae njaa itaanza hutaaminiii....chakula choote kitaisha
 
Back
Top Bottom