fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Mwambie mkeo akupeke chooni,ukamalize haja zako na kwa mila za kiafrika,iwapo utajamba sana,hao wakwezo mara tu ukitoka chooni watabaraguzya maneno ili huko kujamba kwako kusiwe issue,hivyo usiogopeWakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
[emoji3516]Wakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Mkuu wakati unafakamia matobolwa hukutushirikisha sasa iweje baada ya kuvimbiwa utushirikishe.Wakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Ukweni anaombaje majivu😄😄Lamba majivu mzee au yapake tumboni
Kazi ipoWakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
Kadai firigisi na vichwa 😂Siyo akajitapishe...tamaa hizi nazo..
Kaandaliwa mikuku kabugia yote kadai na firigisi☹️🙄🙌
Lamba dawa yeyote ya meno....utanishukuru baadae njaa itaanza hutaaminiii....chakula choote kitaishaWakuu ebu tupeane mbinu.
Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika.
Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavu zanguuKadai firigisi na vichwa 😂
Zimefanyaje🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavu zanguu
🤣🤣🤭Zimefanyaje