Niko Zanzibar, huku watoto wanafanyiwa sherehe kwa kupata div 4

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4, wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.

Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.? Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
 
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Huko wanajali sana Elimu Akheraa.

Elimu dunia wala hawaipi kipaumbele sana
 
Ni picha nzuri inayoonesha namna jamii ya Zanzibar wanavyokandamizwa kielimu.
 
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.

[emoji16][emoji16]dah kwel ni kushukuru kwa kila jambo
 
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Bila pichaa……
 
Huko wanajali sana Elimu Akheraa.

Elimu dunia wala hawaipi kipaumbele sana
elimu dunia mimi nimesomea kwenye mwemba lakini maisha yanaenda kama nyiyi mliosoma mpaka ulaya,bila elimu ya kumjua mungu matokeo yake ni kumuadu mungu alie enda jando na kuvaa nepi
 
Kuna Elimu ya kumjua Mungu?

Unadhani elimu yako pekee uliyofunzwa ndio unamfahamu sana Mungu kuliko wengine?

Wafia dini mnashida sana ninyi..!!!
 
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Sio kweli, labda ungeniambia madrasa
 
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Usishangae akaja akawa elected members of parliament Kisha baadae unaibu waziri alfu baadae waziri kamili na badaee anaingia kwenye kinyanganyiro za kugom ee nafasi za juu sna ndani ya chama Cha mapinduzi huyoooo raisii wa JMT.....safii kbsa

Nyie mliofaulu ufahulu wa juu kbsa mkibaki kuwa machawa wake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom