Niko Zanzibar, huku watoto wanafanyiwa sherehe kwa kupata div 4

Niko Zanzibar, huku watoto wanafanyiwa sherehe kwa kupata div 4

Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Sio tatizo Muhim wanamshukuru Mungu wao

Ukimaliza waulize waliomaliza Vyuo mwaka jana Wana mishe gani mpaka sasa???
 
Ninatafuta binti mzuri kutoka Tanga au Zanzibar awe na Jina la Najma au Nsma
 
Back
Top Bottom