MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huko wanajali sana Elimu Akheraa.Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Ni picha nzuri inayoonesha namna jamii ya Zanzibar wanavyokandamizwa kielimu.Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Bila pichaa……Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Wanakandamizwaje? Maana hata wanaokuja kusoma huku kichwani hamna kituNi picha nzuri inayoonesha namna jamii ya Zanzibar wanavyokandamizwa kielimu.
mwanamke kaumbwa hili aolewe mambo mengine ziadaKama ni wa kike wanaandaliwa kuolewa maana wapo huru sio wanafunzi tena
hakuna mtu ambae hana kitu kichwani bhanaWanakandamizwaje? Maana hata wanaokuja kusoma huku kichwani hamna kitu
mwanamke kaumbwa hili aolewe mambo mengine ziada
WeeeWanakandamizwaje? Maana hata wanaokuja kusoma huku kichwani hamna kitu
Chamzizima ya kweli haya
elimu dunia mimi nimesomea kwenye mwemba lakini maisha yanaenda kama nyiyi mliosoma mpaka ulaya,bila elimu ya kumjua mungu matokeo yake ni kumuadu mungu alie enda jando na kuvaa nepiHuko wanajali sana Elimu Akheraa.
Elimu dunia wala hawaipi kipaumbele sana
Kuna Elimu ya kumjua Mungu?elimu dunia mimi nimesomea kwenye mwemba lakini maisha yanaenda kama nyiyi mliosoma mpaka ulaya,bila elimu ya kumjua mungu matokeo yake ni kumuadu mungu alie enda jando na kuvaa nepi
Yaaaaap wamepishana madaraja mawili tuKila mtu na divesheni yake mbona 1 na 4 karibu tuu.
Sio kweli, labda ungeniambia madrasaMaeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Usishangae akaja akawa elected members of parliament Kisha baadae unaibu waziri alfu baadae waziri kamili na badaee anaingia kwenye kinyanganyiro za kugom ee nafasi za juu sna ndani ya chama Cha mapinduzi huyoooo raisii wa JMT.....safii kbsaMaeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.