Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4 wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.?
Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.