Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

Kama hawa watu wangeweza kukaaa pamoja,wakaunganisha genaral relativity na electromagnetism,basi mambo yangekuwa sawa sana.
 
Ukiambiwa 99% ya tech ya dunia ni Tesla basi ujiulize mara mbili mbili kwanini haya sas ni kipi hasa hakijaguswa na huyu underrated alien?
406128c575c10608f40f0326de89eb3d.jpg
 
Mkuu Physics or in that matter science in general is evidence based. Suala ni kwamba
" whether or not anything can travel faster than light" wewe nipe evidence yoyote kama scholarly paper au experiment etc etc inayo prove kuwa ni kweli kuna kitu kina speed zaidi ya light.
Mimi nitakupa zaidi ya kumi za ku prove kuwa hakuna speed of light is natural speed limit. Usinitolee articles za wikipedia or some random web articles.
 
Mkuu Physics or in that matter science in general is evidence based. Suala ni kwamba
" whether or not anything can travel faster than light" wewe nipe evidence yoyote kama scholarly paper au experiment etc etc inayo prove kuwa ni kweli kuna kitu kina speed zaidi ya light.
Mimi nitakupa zaidi ya kumi za ku prove kuwa hakuna speed of light is natural speed limit. Usinitolee articles za wikipedia or some random web articles.
Daa mkuu embu Ulliza vzur sijaelewa kdogo...what were you asking?
 
Daa mkuu embu Ulliza vzur sijaelewa kdogo...what were you asking?
Provide
Daa mkuu embu Ulliza vzur sijaelewa kdogo...what were you asking?
Let's try this again then. Extraordinary claim need extraordinary evidence. In short instead of telling me that tachyons can travel faster than light,provide a link to an experiment which can and prove that claim or at least a scholarly article as reference. On my end I can give you scholarly articles as well as experimental findings to prove that nothing can travel faster than light. Random websites links like wikipedia are not used as sources for academic paper. We can't keep discuss this topic like we are at Kariakoo market,that is not going to make any conclusion like that. Thanks mkuu wangu.
 
Mkuu Physics or in that matter science in general is evidence based. Suala ni kwamba
" whether or not anything can travel faster than light" wewe nipe evidence yoyote kama scholarly paper au experiment etc etc inayo prove kuwa ni kweli kuna kitu kina speed zaidi ya light.
Mimi nitakupa zaidi ya kumi za ku prove kuwa hakuna speed of light is natural speed limit. Usinitolee articles za wikipedia or some random web articles.
Sijuw utakuwa umesoma comments zangu hapo juu nilivo sema kuhusu Tachyons na light....nimesema kuwa kuna vitu vingi vinakadiriwa kuwa na speed zaid ya mwanga theoretically but practically nothing move faster than light....kama uliwah kugusia intro. Katika Telecommunication ni kwamba speed ya wave katika waveguide " Phase velocity" waga inazidi natural speed ya mwanga

Mwanga unaspeed ukiwa katika airspace medium but ukifika katika media nyingine unaweza kuzidiwa na electron.

Einstein mwenyewe kama umegusia vzur Relativity alisema "Nothing move faster than light in vacuum"
Umeliona neno vavuum hapo lazma uspecfie la sivyo hata mbu atazidi speed kama media ni tofaut.
 
Nitajaribu kutumia layman language as much as I can kwa kuwa najua si wasomaji wote walisoma advanced physics.

Mkuu hebu naomba nichangie kidogo kwenye hii topic. Nimesoma post yako hii na moja hapo juu kuna vitu napenda kuchangia kidogo. Kwanza ile Tachnyon amabyo umeizungumzia hapo juu kwamba inakwenda kasi kuliko speed of light is not true. Because Tachyon is only hypothetical particle.To be a proper scientist you can not use something which is hypothetical.
Kwanza nianze na Tesla kukataa space curvature. He was a brilliant scientist,lakini he was inventor first more than anything else. Yeye kupinga curvature of gravity hakunishangazi kwa kuwa general thoory of relativity. Nakuwekea experiment moja kati ya nyingi zilizo prove space curvature. "
May 4, 2011: Einstein was right again. There is a space-time vortex around Earth, and its shape precisely matches the predictions of Einstein's theory of gravity.

Researchers confirmed these points at a press conference today at NASA headquarters where they announced the long-awaited results of Gravity Probe B (GP-B).

"The space-time around Earth appears to be distorted just as general relativity predicts," says Stanford University physicist Francis Everitt, principal investigator of the Gravity Probe B mission." Ukihitaji link nitakupatia.

Kuhusu kutoweza kuishi bila Tesla in a way is going to be hard but on the other hand let me share with you few things to show you that we actually live in Albert Einstein world.
--photoelectric effect made possible the eventual invention of television cameras. And the remotes that control them. Also, it’s why digital cameras work.
--Compact disc and DVD players use lasers, which Einstein first theorized in 1917 in advancing his work on the photoelectric and photovoltaic effects. We have lasers in every supermarket checkout lane too.
CT scan in hospitals relay solely on special theory of relativity and quantum theory.
Before Einstein paper in 1905,scientist didn't believe in atom,in 1905 he put last nail on coffin on that.
Newton huwezi kabisa kumlinganisha na Einstein,hata kidogo.
-----Newton was able to explain for the first time why the Moon stays in orbit around Earth. To this day, we use Newton’s math to predict the trajectory of a softball toss or of astronauts landing on the Moon. In fact, all everyday observations of gravity on Earth and in the heavens can be explained quite precisely with Newton’s theory.---But Einstein did go beyond that. Ngoja niache tu hapo kama ilivyo.
Kuhusu atomic bomb,Einstein alikuwa theoretical physicist aliandika ile formula ila ni watu wachache sana walioweza kuelewa. Katika wawili ambao walikuwa Manhattan project ni Leo Szilard huyu ni mwamanafunzi wa Einstein na Enrico Fermi.
Einstein alichofanya ni kuandika barua kwa FDR kumueleza uwezekano wa hilo bomu na kwa nini ni vyema wakilipata wamarekani kabla ya wajerumani.
Ngoja niishie hapo kwa sasa nitaendelea baadae. Mwenye kuweza kukosoa akosoea na mwenye kuweza kuongeza afanye hivyo.
Naona una msifu Albert na Photoelectric juu ya Remote yani Photoemission Ila emu Google nani alie patent remote technology Utashangaa kukuta Ni N.Tesla, Kusema remote zitumie Infared Waves ni kwa Limited area Kwa Wide area IR wont work at all tunahitaji Radio au Microwave Kufanya Remote control, Einstein alichukua Nobel Prize Ya physics kwa io inshu ya Photoelectricity
 
Mkuu jiulze kwanini Tesla hakupewa noble prize besides na kugundua many practible things in the history of human kind.

Alafu tena jiulze ni kwann FBI walichukua kazi za tesla na kuzificha mpka leo ?

Ilibidi kikao cha wanasayansi kikakaa kuwa kwanin Tesla hajaheshimiwa....yani hadi Einstein ana Nobel prize Tesla hana ? Wakati kila kitu alicho gundua Tesla 20 yrs later Einstein anakuja kutungia theory yake eg Laser.

Basi vichwa vilikaa na vikasema kwakua SI unit ya magnetic field ni Webber per meter spuare bas
1Tesla= Webber/m^2

Napo bado Great thinkers wanadoubt kwanini Tesla hajaheshimiwa ila watunga theories aameheshimiwa?



Angalia hapa
ebdfa9cadf99d76e24c0768c35c8bd1e.jpg
Mkuu ni Unit ya Magnetic Flux Density na sio Magnetic field
 
Nyie msicheze na Einstein kabisa theory zake zilifanikisha utengenezaji was satellites
Mkuu Satellite apo Ni Isaac Newton,Galilei Galileo na Jonnes Keppler, Msome Keppler na Law zake tatu za Planetary motion
 
Wakuu lakini Tuko nje ya mada kabisa coz topic inauliza kwanini huyu akatae hichi Ila pia Tuache kuwafananisha Watu wawili tofauti Unapomuongelea Albert Einstein basi unamuongelea Theoritically Physicst while N.tesla Yeye ni Experimental Physicst They are differ, Tesla amefanya Mengi Practical ila Pia Eistin ametoa mchango wa Mengi Theoritically Mwisho Albert Media za Jews zimembeba Haswa haswa tofauti na MSerbia Tesla
 
Hakuna kama Tesla,usisahau pia alikuwa na knowledge isiyo ya kibinadamu baada ya kuona kwamba alikuwa close kufanikisha wireless eletricity kina Jp Morgan wakaamua kumpoteza ila inasemekana alikuwa na uwezo wa ki alliens beyond ubinadamu kabisa
Naomba uthibitishe kuwa Tesla hakuwa binadam wa kawaida
 
Hujui kitu ww!
Mkuu huyo anaweza kuwa alisoma fizikia maana wanafizikia wanajua Einstein ndo the top wakati Newton ndo mbabe kisa si myahudi ...akisikia wat wanasema Tesla bila shaka lazma abishe coz hamjuj....


Tesla alipokuwa mdogo aliweza kuongea lugha nane....

Einstein katengenezewa njia tu na media za western za kiyahudi zimembeba sana lakn Hakuna Alien kama Tesla hata dunia mbona inajua.
 
Mada hii na michango vimenifurahisaha na kuniongezea kitu kipya. Hongereni wanasanyansi. Hata hivyo tusiwaangalie tesla na Einstein katika mwonekano wao, bali katika vitu walivyofanya au thery walizotoa
 
Kama kuna mwanafizikia humu aniambie kwanini duniani hakuna curriculum ya Radiant energy in any college courses? Either in quantum physics au photonics?

Huji kufundishwa Radiant energy hata siku moja Sababu liberals na waarabu wale jamaa wa bashara za mafuta zitakufa maramoja..


Ndipo utajua kwanini FBI ilisha ficha findings za Tesla?

Tesla alikuwa ana uwezo wa ku collect more than 40 volts using antenna from the space..unazan hii Radiant energy ingetangazwa mafuta yangekuwepo...US ,Sauds na wengine wangekuwaje kiuchumi?

Zaid zaid watakuambia aaa hatutaki hii free radiant energy kwasababu Metering kwa customers eg. LUKU itakuwa ngumu na kutankuwa loss kubwa yavenergy... hakuna mnyamwezi aliwapa njia zite ilabwaliishia kuchoma mnara wake wa wireless power transfer.

Fuatilia habari za TV channels Tesla alisuggest TV iwe bure ...walimbanne...

Mazee msicheze na huyu Alieni kabisa
 
Naona una msifu Albert na Photoelectric juu ya Remote yani Photoemission Ila emu Google nani alie patent remote technology Utashangaa kukuta Ni N.Tesla, Kusema remote zitumie Infared Waves ni kwa Limited area Kwa Wide area IR wont work at all tunahitaji Radio au Microwave Kufanya Remote control, Einstein alichukua Nobel Prize Ya physics kwa io inshu ya Photoelectricity
Mkubwa wangu naona unanitoa nje ya topic. Ninachojaribu na nimeshamention before,academically you just don't google stuff and present them as evidence,kama tupo kariakoo au tupo high school sawa kwa kuwa hafundishwi namna ya kufanya proper citation as well as using scholarly articles for references. Kama ukupenda kwa kila nilichoandika naweza kukupa reference either scholarly article or proven scientific experiment to verify the claim. Sasa kama nawe waweza tufanye mambo kwa mtindo huo ili hii topic iwe more informative kuliko ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom