Namba haijakamilika mkuunipigie 071586702
Sababu sina dhamana kama material thing..nina identities zangu na pia nina shida sana na hicho kiasiMbona umejiwekea riba kubwa sana,
Sema hizo identities ni gani! Watu siku hizi wachungu kusaidizana, rahisi kupondea stareheSababu sina dhamana kama material thing..nina identities zangu na pia nina shida sana na hicho kiasi
Nipige 0714501478Wakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya.
Location-Dar es salaam
Kama bado njoo kwa boboWakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya.
Location-Dar es salaam
Mfano nhif,living certificate,birth cert,voter ID..na ndo maana nikaweka riba kubwa maana dhamana ya material thing kwa sasa sinaSema hizo identities ni gani! Watu siku hizi wachungu kusaidizana, rahisi kupondea starehe
Waafrika ndivyo tulivyo
Kwa usawa huu hata Ndugu haaminikiMkuu huna hata marafiki au ndugu kwanza kabla ya kuja huku? Hivi hivi ni nani atakuamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kinachouzika hapoMfano nhif,living certificate,birth cert,voter ID..na ndo maana nikaweka riba kubwa maana dhamana ya material thing kwa sasa sina
Kivipi sasa mkuu??Chukua hyo 140k...hakikisha unanrudshia on TIME
Mkuu hadi saivi hujapata kweli mpk na namba za simu hapo nmeona raia wema wamekupa au hamjaafikiana nao? na huyo alosema umfate PM kama hujapata vipi hujamuona? Au unataka kukusanya 140k kwa member wote humu mwsho utuache sorembaaaaaKivipi sasa mkuu??
Bado hatujahafikiana mkuu,aliyeweka no mmoja ndo namcheki saiviMkuu hadi saivi hujapata kweli mpk na namba za simu hapo nmeona raia wema wamekupa au hamjaafikiana nao? na huyo alosema umfate PM kama hujapata vipi hujamuona? Au unataka kukusanya 140k kwa member wote humu mwsho utuache sorembaaaaa