Wakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya.
Nitaacha simu tecno W1,pasi,nhif card,birth cert,leaving cert
Location-Dar es salaam