Nikopeshe 140k nirudishe 230k ndani ya week mbili

Toa details zaid za wapi unapokaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hiyo riba unayotaka kutoa ni kubwa sana.
Au ndio mtego atakae shikwa tamaa,tamaa yake imponze.
Pole
Hope utafanikiwa kupata huo msaada kama kweli una shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu bado hali ngumu..niokoeni nitatue ishu yangu
 
Mbona hiyo riba unayotaka kutoa ni kubwa sana.
Au ndio mtego atakae shikwa tamaa,tamaa yake imponze.
Pole
Hope utafanikiwa kupata huo msaada kama kweli una shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Riba kubwa inaendana na dhamana nilizosema nitaziweka..ningekuwa naweka asset nisiweka hiyo
 
Unaishi wapi? Unafanya kazi gani? Ukijibu njoo uchukue mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…