Nikopeshe 140k nirudishe 230k ndani ya week mbili

Nikopeshe 140k nirudishe 230k ndani ya week mbili

Wakuu heshima kwenu

Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu

Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya..

Location-Dar es salaam
Toa details zaid za wapi unapokaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hiyo riba unayotaka kutoa ni kubwa sana.
Au ndio mtego atakae shikwa tamaa,tamaa yake imponze.
Pole
Hope utafanikiwa kupata huo msaada kama kweli una shida.

Riba kubwa inaendana na dhamana nilizosema nitaziweka..ningekuwa naweka asset nisiweka hiyo
 
Back
Top Bottom