her self
Senior Member
- Oct 26, 2018
- 144
- 198
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa details zaid za wapi unapokaaWakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha kuweka bondi naweza nisiwe nacho cha maana kwa sasa ila tutaongea zaidi jinsi tutakavyofanya..
Location-Dar es salaam
Riba kubwa inaendana na dhamana nilizosema nitaziweka..ningekuwa naweka asset nisiweka hiyoMbona hiyo riba unayotaka kutoa ni kubwa sana.
Au ndio mtego atakae shikwa tamaa,tamaa yake imponze.
Pole
Hope utafanikiwa kupata huo msaada kama kweli una shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
daah ungekuwepo Dom tungesaidianaMkuu kwa hali niliyonayo kwa sasa dhamana kama dhamana sina,ila naweza kuacha confidential zangu..
Pamoja sana mkuu
Aiseee...Msiojua shida mna raha sana.Ila wanaume wa Dar ni majanga sana....hivi wanawake wa Dar mna kazi sana kuishi na hawa wanaume wasiofanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app